Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Za Asubuhi wanajamvi kwanini katka Mahusiano wanawake ndo wanajijali sana kuliko wapenz wao? Unaweza kuta mwanaume anajituma Amridhishe kwa kila kitu lakin unakuta mdada anaweka personal matters...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
ni stori iliyotokea katika maisha yangu ambayo ni ya kweli na sito isahau, wana jf nashukuru kwa wote mlio nipa ushauri na maneno yenye faraja na kunijengea amani nafcini mwangu. mungu awabariki
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Jamani natafuta mwanamke mstaarabu tuanze mahusiano ya kimapenzi anitafute kwenye email híi jumajerr7@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Hii tabia ya kusimuliana mambo ya usiku chumbani ni hatari ati. UNAWEZA KUNYANG'ANYWA BWANA AMA MREMBO HIVI HIVI kwa kuwahamasisha wenzio wamtafute. KUNA DEMU rafiki yake na demu wangu sasa...
2 Reactions
32 Replies
17K Views
Nini hufuata mapenzi yanapofika mwisho? Kujiua? Kuomba suluhu? Kuchanganyikiwa? Kuwa mlevi? Nini hufuata baada ya kifo cha mapenzi??? Nina uhakika kila mmoja wetu amekumbana na hili..! Tuambie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekutana na baadh ya wadada wakisema hivo pâle kunako majamboz. Em naomba kujua wadada wa humu ukwel ni upi? Isije ikawa ndo wanataka niwajaze ka embryo nibebeshwe mzigo.
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Heshima kwenu wana Jukwaa Natumaini kwa uwezo wake Mungu wote hatujambo. Kama kuna mgonjwa basi Namuomba Mungu amponye ili tuendeleze ujenzi wa taifa letu. Nami leo Najitokeza katika jukwaa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hi to everybody. I just copied this somewhere to share with JF women Do not shave off your eyebrows only to redraw them with a pencil… it makes no sense Do not put on too much make up, you...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Plz dont judge me jf kila mtu anachagua mwenza (mpenzi) kwa utashi wake anayemeet standard zake upande wangu wake za watu, wapenzi wa watu ndo chaguo langu namba moja nikitongoza msichana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, Mke wangu kanyang'anywa na tajiri yangu. Naomba mnisaidie ushauri na la kufanya. Asanteni.
4 Reactions
93 Replies
8K Views
ni ukweli usiopingika kuwa katika jamii nyingi mwanamke alifanywa kitega uchumi cha mahari(dowry). Wayback before 1990s. wanawake hawakuruhusiwa hata kwenda shule ili wasubiri kuolewa na familia...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
siku hizi kuna ndoa na harusi nyingi saaana saaana.watu wanaoana saaana saaana.. hivi hawa watu wanaelewa kweli.maana ya ndoa?? wanakimbilia kufanya nin wakati hawawez kuacha kutoka nje?? au...
1 Reactions
2 Replies
953 Views
Punishment: Man Gets His Penis Cut off For Raping Girl (Explicit 18+) - YouTube
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Anatembea umbali wa kilometa kadhaa kila wiki kuchunga ng'ombe. Anakula vyakula vya asili visivyo na sukari na mafuta ya ziada. Hali vyakula ambavyo ni artifical na junk foods. Hatumii hata...
10 Reactions
165 Replies
19K Views
Jamani, naomba kutoboa jibu, samahani kwa wajaluo walioko humu ndani. ninaye rafiki wa kike ambaye niko karibu sana naye, na ameolewa kwa mjaluo. mwaka jana alienda kusalimia wakwe, babamkwe...
0 Reactions
92 Replies
36K Views
Uchunguzi wa mamamarazi unaonesha kuwa wanaume wengi huwakataa mabinti wenye mimba zao lakini ndani ya ndoa hulea watoto wasiokuwa wao kwa kushikishwa na wake zao tena kwa mafweza kibao bila kujua
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello sisters wana Forum Naitwa Paul 32yrs, naishi hapa dsm-Kimara, natafuta mchumba ambaye tuitengeneza kesho yetu. Kwa dada aliye tayari tafadhali tuwasiliane. Anitumie Private Message (PM) kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haaaaaa, Breaking up a relationship is not a joke Kansiime's terms and conditions on a BREAKUP. - YouTube
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanawake wenye nyonga zilizo na umviringo na kubwa au kwa lugha nyepesi wenye "curvy hips" huwa ni werevu. Hii ni kulingana na utafiti uliopata kufanywa na wanasayansi wa afya kutoka vyuo vikuu...
10 Reactions
243 Replies
41K Views
Back
Top Bottom