Habari za Asubuhi wadau,Mi naelekea Kanisani,Mungu Awabariki sana sana,
Hii issue imeniuma sana sijui nijiandae vipi.....ok
Mtaani kwetu kuna Baba Mmmoja alikuwa anatembea na housegirl wake,sasa...
WADADA WAREMBO huwa wanawavutia zaidi wavulana/wanume ndani ya mda mfupi sana.
Kwa mwanaume si jambo la ajabu sana ukikutana na CUTE,CUTIE ama CUTESY unamwangalia wee mpaka nae anajua kweli...
BIKINI ni underwear za wanawake zitumikazo sana kuogelea ama kupumzikia juani maeneo ya fukwe.VAZI HILI HUFUNIKA 1% ya mwili wa mwanamke na 99% kuachwa wazi.
BACK TO TOPIC.
kutokana na ukweli...
unakuta mtu yuko kwenye uhusiano anateswa,kila aina ya vituko anapewa lakin anaendelea tuu na huo uhusiano outside there kuna jamaa anampenda anahangaika usiku na mchan ampate ila yeye wap ilihal...
Mwanamme na mwanamke kuchukua tahadhari pale unapokutana na mtu ambaye anajipenda na mtanashati. Kuna uwezekano mkubwa akakuacha kwenye majonzi na masikitiko ya kimapenzi kutokana na tabia yake ya...
Hii ni special kwa wadada wa kibongo hasa wale wenye vitambi, fanyeni mazoezi mchome hayo mafuta tumboni, hivi huwa mnajisikiaje kuwa na kitambi kama dume? mavitambi mengine mnajitakia, utakuta...
Hivi kwanini siku hizi kama kutongozana kumepungua? yaani mtu unamtaka msichana kumwambia directly ni inshu mtu unaanza ,dear, vizawadi kidogo, unamwita sweet heart,baby n.k , sasa dem...
HIZI NDIO SIFA ZA MADEM WANAOTOKA MIKOA HII
TANZANIA.
1. DAR - Utapeli na vizinga katika mapenzi pia ni
vicheche wa kupindukia
2. ARUSHA - Wanapenda sana kuongea kihuni hadi
mwenyewe utaogopa...
Leo jumapili nimeona niwashirikishe neno la leo; Katika malezi/mapenzi kwa watoto wetu.
Unaweza kuwa unampenda sana mwanao,unamsomesha boarding,unampa kila kitu,shule nzuri,anasoma mpaka...
Karibu watu wote wana marafiki,lakini urafiki wa mvulana na msichana mwisho huishia kwenye mapenzi,HENCE THERE IS NO FRIENDSHIP BETWEEN A GIRL AND A BOY,ALL WILL END UP TO LOVE.
ni wangapi ambao...
Mara nyingi utasikia wanaume wengi wakilalama kuwa wanalazimika kuwa na wapenzi nje ya ndoa kutokana na tabia ya wanawake kudai kila wakati kuwa hawajisikii kufanya mapenzi na waume/wapenzi wao...
Upole na ukarimu alivyovionyesha pamoja na sauti nyororo na uzuri wake+mwanya wake KATIKA FILAMU YA KANUMBA "the point of no return".
Pamoja na ukweli ni filamu tu,lakini wema alionekana kuwa...
Wadau kama kawaida yetu ku discuss mambo yenye mashiko hasa hasa yale ambayo ni tatizo katika jamii yetu na tunayatafutia suluhisho aidha kwa njia za kisasa/kitaaluma au KITAMADUNI,leo hii naomba...
umeeleza vizuri ila aina ya uandishi kama huu wa kuandika bila ya kuacha paragraph
unasumbua na unaleta uvivu katika usomaji..............myself opinion..........!!!!!!!NI pesa,,cheki haya...
Binti amka acha huzunika,
Binti amka acha sikitika,
Binti amka jikaze anza mwendo,
Binti u mrembo na bado wang`araaaa!!!!
Kama uko shule.... kitabuni juhudi ongeza,
Kama mwajiriwa hakikisha cheo...
Leo mwambie mwenzi wako "asante kwa kunipenda kwa dhati"
"nafurahia sana upendo na penzi lako"
UTAKUWA UMETIA MOYO NA ATAJISIKIA VIZURI.
mwambie humuhumu na unaweza kwenda mbali zaidi,kamwite...
Juzi kuna jamaa la miaka 38, lililomfukuza mkewe miaka 5 iliyopita, lilifumaniwa na katoto ka miaka 11 (drs la pili) Ikungwe-Wasa-Iringa vijijini.
Jamaa alienda kufanyie nyumbani kwa bibi wa...
Hii itawezekanaje BHANDUGU?Wadada kweli ataweza kuvumilia kama msichana?Mimi nitaweza.
TOPIKI HII HAPA.
Nina demu wangu nataka nimbadili awe rafiki yangu wa kawaida MANA SITAKI KUKOSANA NAE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.