WAJALUO kulala na wakweze, kwanini? siri yake ni nini jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WAJALUO kulala na wakweze, kwanini? siri yake ni nini jamani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hute, Feb 15, 2011.

 1. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  Jamani, naomba kutoboa jibu, samahani kwa wajaluo walioko humu ndani.

  ninaye rafiki wa kike ambaye niko karibu sana naye, na ameolewa kwa mjaluo. mwaka jana alienda kusalimia wakwe, babamkwe wake akamwambia kuwa "kiuno chake kizuri", yeye alipomwambia mmewe, jamaa akasema awe makini wazee wa huko huwa hawajatulia...kwasababu yeye ni msukuma, alipata shida kidogo itakuwaje babamkwe akamwambia neno hilo...sitanii, hii story ni ya kweli. ikabidi uchunguzi ufanyike, akagundua kuwa, kume kabila hilo babamkwe huwa wanalala na wake za watoto wao walau mara moja ati ili kuunganisha kwenye ukoo.

  alimpressure jamaa akarudi haraka Dar. aliponiambia (don't ask me kwanini yuko karibu nami na kwanini ananiambia), mimi sikuamini. nikamwambia uyo mzee alilewa labda au hana akili timamu.

  jana, nimekaa sikwenda kazini, nikalala. mama jirani mkurya na mkewangu wakawa wamekaa nje bila yeye kujua niko ndani nimelala...wakawa wanapiga story, bahati mbaya alijiachia nikawanasikiliza story zao zote...ilikuwa hivi...

  alijieleza kuwa yeye mkurya, lazima kwao wakekete, wife kamwuliza kwahiyo hata wewe umekeketwa, akasema ndiyo! akamwambia hivi hamu mnajisikiaje? akasema, sijisikii hamu, naweza kukaa muda mrefu sana bila kufanya hilo tendo kwanza mi nawashangaa hata wanawake malaya...mimi huwa sijisikii sana...hata nikingiliwa, huwa sifurahii sana. wife kamwambia duh,

  walipofika kwenye issue ya wajaluo, mama kasisitiza kuwa, mwanamke wa kijaluo lazima akeketwe, ndio maana huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe kwasababu huwa tunaona aibu kwa makabila mengine, na pia, hata kama mwanaume ataoa kabila lingine, akipata mimba akaenda kijijini, wanapomzalisha huwa wanafyeka kisimii bila yeye kujua...akafika kwenye issue sasa, halafu wajaluo wachafu sana, baba mkwe lazima alale na mke wa mtoto wake, kama hatafanya hivyo atamchukia sana mtoto wake wa kiume...hata mke/mkwe huwa anaweka mazingira ya binti kulalwa na mmewe/mkwe....
  1. wanakeketa
  2. kama hujakeketwa wa kabila lingine, watademand ukiw ana mimba
  ukajifungulie kwao, ukienda tu, wakati wa kujifungua
  wanafyeka kisimii....utakujastuka una kidonda.
  3. wakwe wanalala na wake za watoto wao.
  4. kaka akisafiri, mdogo anaweza kuhamia kwa mke wa kaka hadi arudi..its normal
  5. wanaoana wao kwa wao
  .
  6. wanaoana wanawake kwa wanawake, wanachagua dume la mbegu alafu anamzalisha yule mdada, wakurya pia...
  issue inayodisturb hapa ni, kulala na wakwe, kwanini wanafanya hivyo?
   
 2. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 585
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  duniani kuna mambo kweli!
  Ukistaajabu ya musa hujaona firauni!!!

   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiyo ya wanawake wawili kua pamoja alafu wanatafuta mwanaume kwaajili ya mtoto nimewahi kusikia sijui ilikua kwenye tv!Inashangaza kweli!
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duuu, hili kabila litakuwa linahusudisha sana ngono... kwani mpaka umchakachue mkwe ndio awe mwanafamilia, mbona hamna connection hapo!!!:twitch:
   
 5. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Asante kwa taarifa. Bora waoane wao kwa wao, wengine tutaweza wapi? uchafu na laana tupu, ninaomba Mungu nisimpende mjaluo wala mkurya.
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Disgusting and grossy!
  Ningekuwa huko wote wangeenda jela. Sitanii!!
   
 7. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  OCAMPO aje na huku... uhalifu wa ndoa huu!!:twitch:
   
 8. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si kweli!
   
 9. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  ni kweli, kama kuna mtu kaolewa na mjaluo hapa, na umri wake ni kama miaka si chini ya arobaini ataeleza vizuri hii. wao hawawezi kufichua siri hii, hata siku moja, ni siri kabisa. ila inatendeka wakuu..
   
 10. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Muwe mnaangalia na mazingira halisi. Ukikulia ujaluoni haswa unaweza ukakuta tamaduni hizi zimekazwa ktk koo na koo. Koo zilizoendelea huyakuti mambo haya yakitiliwa maanani. Makabila mengi hupendelea ndoa za wao kwa wao ila kwa sababu tofauti japokuwa na utamaduni ndio linapewa kipaumbele. Kwa hiyo wajaluo kuoana si jambo la ajabu ni sawa na wachaga kuoana, wahaya kuoana n.k.
  Kumbukeni kanisa la kisabato ndio limeota mizizi sana huko kwa hiyo kusema haya mambo yanafanyika sana kwa sasa habari hii ni uongo. Hii ni gross judgement sawa na tunaposema wahaya ni malaya, wafipa ni wachawi n.k.
  Kutahiriwa kwa wakurya ni kitu kinachojulikana toka enzi. Ila kwajaluo ina walakini maana ikiwa wanaume wa kijaluo hawatahiriwi (kiutamaduni) iweje watahiri wanawake?
  Pia umri wa huyo mama kurya aliyekuja kwako ni jambo la kujadili. Kama ni mtu mzima sana ujiulize je vita vinavyopigwa vya kutokutahiri wanawake kktk kabila la wakurya hazijawafikia?
  Wakurya ndio wenye kuoanan wanawake kwa wanawake inaitwa 'nyumba ntobhu', ila si kuoanan kama unavyosema. Ni mbinu iliyotumika kwa wanawake wneyewe kuepuka ukatili kwa wanawake. Mara nyingi anayeoa ni bibi kizee na anayeolewa anakuwa ni msaidizi wake wa kumtunza na anakuwa huru kuzaa na mtu yeyote. Maana ktk ndoa za kawaida wanawake huwa wanapigwa sana na kukatwa mapanga.
  Pia nina wasiwasi na huyo mama kufahamu mila za kijaluo. Uliza wajaluo halisi wakwambie. Ndoa za urithi bado zipo na hiyo hujulikana sana kwa makabila karibu yote ya mkoa wa Mara. Ila ya baba mkwe kulala na mkwe hiyo kali ya mwaka, sijawahi sikia wala kuiona.
   
 11. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  wenye nyumba ntobhu ni wakurya hiyo haina ubishi...ila kwa baba mkwe kulamba dume la mwanae, ni wajaluo...hata ubishe vipi, ni kweli. ongea wazi ili watu wapone mkuu. kanisa la kisabato litafanya nini? mbona halina effect yoyote nchini Tanzania, mbona pamoja na usabato watu wanafanya mambo ya ajabu bado huko ujaluoni, usabato haujafuta kufyatuana mapanga? usabato haujafuta kupigana mangumi?
   
 12. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Remmy umekwenda mbaliii
   
 13. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Watu wazima mnakaa badala mfikirie nchi ina shida nyiiingi anzia umeme, foleni, miji michafu,elimu,magonjwa nyie mnazusha mambo ya kutuchafua wakurya na wajaluo, mimi ni mkurya na nimekaa na wajaluo hayo YOTE UMEZUSHA HAKUNA KITU KAMA HIKO.

  Ni kweli kuna akina mama watu wazima wanaozwa ( nyumba ntobhu) lakini ni wale ambao hawajazaa kabisaa katika maisha yao yote, na sio kila mama anaoa mana kwanza sasa hilo watu wamesoma wanaiacha kabisaa.

  Suala la kukata panga ni akili ya mtu na mtu na hilo haliko kwetu mara tu, kila mara watu wanauana nchi hii hata jana songea mdada wa Tanga kakata mpaka kutoa ubongo wa mumewe kisa pesa ya salun, hilo hamuoni mnaaangalia TARIME TUUUU, mnaboa sana kabisa hebu tuacheni bana.

  Mtu anasema naomba Mungu nisimpende mkurya!! shame on u, tena wewe ntakutongoza na utanipenda mpaka utabroo, utakua unanifata mwenyewe unalia mchozi,

  Sisi sio wanafiki japo ndio kweli tuna mapungufu yetu kama kabila lakini hilo halituondolei utu wetu, we are proud to be kurian n never regret!! we love to bein Mara and alwaiz we will be!!

  Haya mambo ya kujumlisha tuu sio mazuri eti wakurya, aah hao wanapiga, wahaya duh malaya sana hao,wacha loh majizi wanapenda sana hela ukijenga wanakuua!,Tanga umeibiwa wale hawafai haya yoote ni uongo mana kila mtu ana tabia yake regardless amezaliwa wapi!

  EVERY GENERAL RULE HAS ITS OWN EXCEPTION!!! HAKUAN MJALUO ANALALA NA MKWEWE, WALA WAKURYA HATUUI KAMA MNAVYODANGANYWA, TUMEBADILIKA SANA, KAMA yapo ni ya myu mmmoja mmoja kama. msidanganywe na CCM mana tunaikataa sasa inatuchafua, wadada njooni Tarime mpate raha ya unyumba achana na watu wanakula chipis nguvu hakuna!
   
 14. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Hute una lako jambo sio bure nadhani umepishana sehemu na mdada wa kikurya sasa umeamua kutuchafua, ama la wewe ni mwenezi wa CCM, mana ndiyo inatuzushia sana kama vile hakuna sehemu nyingine nchi hii ina matatizo kama ya Mara.
   
 15. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  To Hute:

  Habari nyingi ulizoandika kuhusu wakurya zinaelekea kwenye ukweli. Zile za wajaluo, Unahitaji kufanya utafiti zaidi. Research huwa haifanywi kwa kusikiliza watu wawili. Kwa juu juu, mimi nafahamu kuwa makabila yote ya mara yana utamaduni wa kukeketa wanawake kasoro Wakwaya na wajaluo. Makabila yote yana utamaduni wa kutahiri wanaume kasoro kabila la wajaluo. Mkoa una makabila 23. Hata hivyo haimaanishi kuwa kila mwanamke wa Mara utayekutana naye lazima amekekektwa, na wala si kweli kuwa kila mwanaume jaluo atakuwa hajatahiriwa. Chukua hizi data hapa halafu endelea kufanya utafiti.
   
 16. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Nimeuliza toka kwenye vyanzo vya kuaminika kuhusu hii habari ya baba na mwana kwa wajaluo, na vyanzo vimesema ni kweli na ni ajabu na ni kweli!
  This is very grossy and disgusting! Nikiona watu wa namna hiyo nitawafungulia mashtaka na mtaenda jela. Sitanii!!
   
 17. s

  shosti JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahaha warangi mbona baba anachakachua mwanae au mama anachakachuliwa na mwanae:coffee:
   
 18. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Jaluo Nyeupe iko wapi ikanushe au isibitishe ukweli wa hii mambo?:horn:
   
 19. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  bora wewe umefanya utafiti.
   
 20. M

  Musoma Senior Member

  #20
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 60
  Naomba niwasaidie kuhusu hii mada kwani mimi ni mjaluo!

  Kabla sijaendelea naomba kutoa angalizo;
  Watz wengi hawako makini na hawapendi kufanya tafiti kuhusu mambo ya msingi!

  Huyu bwana aliyeandika hii thread hawajui vizuri wajaluo!
  Kwa mila na desturi za wajaluo si rahisi hata kwa baba mkwe kufikiria kumtongoza mkwewe! Kwa mila za wajaluo watu hawa hueshimiana hata kufikia hatua za kuogopana!

  Na pia wajaluo huwa hawakeketi wanawake,hiyo ni mila ya WAKURYA ila sishangai kwa sababu inteligencia ya watanzania walio wengi ni ndogo sana utakuta mtu mzima tena anajiita msomi wa University lakini anataja mikoa atataja mkoa wa MUSOMA,au atafikiri kuwa watu wote wanaotokea Mara ni KABILA la WAKURYA!

  Ni aibu mtu kukurupuka na topic usiyoielewa vizuri!
  Aliye toa thread hii inaonekana ni MBEAAAA,kwani haiwezekani mtu umelala ndani kumbe unapiga chabo kupitia masikio yake .

  Kingine inaonekana huyo demu aliyeenda kijijini ni WARU WARU,tatizo la kuokota mademu CORNER BAR mnapeleka vijijini kuwatambulisha kwa wazazi!
  Hawawezi kutofautisha kati ya BABA na MTOTO! wako kibiashara zaidi!

  KUWENI MAKINI ,FANYENI UTAFITI
   
Loading...