Gharama za kuoa zazidi kupanda. Ushauri please

mzambia

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
887
Reaction score
63

man-and-woman-.jpg

Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu Gheto kwako uishi nae kinyumba ,ila kuoa jasho la meno litakutoka.

Ukipeleka Ombi la kuoa ujiandae kwa gharama zifuatazo kut
oka Familia ya Bibi Harusi Mtarajiwa:
1.Blanketi la Bibi kutoka Home Shopping centre vipisi viwili,rangi ya Purple
2.Blackberry Q10 ya Mshenga
3.iPhone7 Water Proof(itakuwa imetoka) ya Baba Mkwe
4.3-Piece-Suit ya NGOWI. kwa ajili ya Mjomba wa Bibi harusi aliyemsomesha Bi harusi sekondari huko mwanalugali
5.Samsung Galaxy 9 Bold-Wipe Screen ya Mama wa Ubatizo wa bibi harusi
6.iPad ya Kungwi wa bi harusi
7.Koti la Single button Leather by Martin Survivor Kadinda kwa babu wa bi harusi kutoka Ileje
8.Mahari itajumuisha Less-Wig Brazillian Hair kwa mama mzaa chema,na Table sets za mninga kutoka Orcadeco..Hapo bado hujanunua Suti yako,Shela ya Bi Harusi ambaye atang'ang'ania litoke Uturuki,na hapo ana kijacho chako cha miezi 4 kishaanza kutuna kama kitenesi,bado hujalipia Ukumbi Mwika Social Hall,hujammalizia MC Luvanda milioni 4 ya kuwa MC wa harusi yako...THUBUTUU YAKO!
Ukipewa Bili TOTAL utakuwa umehamishia mawazo kumalizia ujenzi wako wa nyumba iliyoko Site kule Goba,utaona kuoa ni upotevu wa hela na muda.
Ndugu yangu heri uoe sasa,usiwaone watu wamechangamka kuoa hii miaka 2 ukajua ni bahati mbaya,WAMEONA MBALI..Ikifika 2017 utaomba Poo,sasa hivi we jishaue kuchagua-chagua tu Mke wa kuoa kama uko mitumbani Karume,Heri uoe huyohuyo hata kama miguu yake imepinda kama Upinde wa Mvua itanyooka mkiwa Honeymoon

SOURCE: HANCE LYMO
 
Yote hayo kwasababu mnayaendekeza.....peleka barua ya uchumba na wape uwezo wako kuwa ni kiasi fulani, huna zaidi. Waache wenyewe wapige kichwa na zaidi huyo mwenza wako mwache aelewe uwezo wako, nafikiri atakusaidi kwa hili. Lakini ikiwa uhusiano ni showoff tu kuwa unazo na ukapeleka uchumba kwa mbwembwe subiri yakukute....
 
Show off! Hapo umemaliza kabisa..yan saiv watu wana pretend sana,labda sababu ni kuwa wadada nao wanapenda hela sana kipindi hiki.

no wonder watu wanataftana siku za kugegedana tu, mschana anashangaa kwanin mchumba wake anamtafuta siku za majamboz tuu! Siku nyingne ni ubusy hakuna kuonana ni salam kwa simu tu..
 
Mambo ya blackberry tena kwenye mahari.......itakuwa balaa
 
mapenzi ni ya watu wawili kama mpenzi wako anajua uwezo wako hayo yote hayatakuwepo, MadameX yupo sahihi ni show off tu hakuna lingine mi waking'ang'ania hiyo mi mahari nahamia kwa bwana, na harusi tunaghairi kha kwann wamkomoe hivyo hadi watu mnatoka fungate hamjui mnakula nn kisa harusi imemaliza bajet yote
 
Last edited by a moderator:
Ndoa ni wewe mwenyewe mwanaume,unavyojiweka ndo wanavyokuchukulia!!!!

Enzi hizo mi mke wangu nilimuambia kabisa mahari zaidi ya Tsh kadhaa ujue umepoteza pambano waambie kwenu kabisaaaa!!!!Na haikuzidi na nilimwambia mimi nakuoa kwa mujibu wa dini sina mila wala mkaja wa mshenga,sijui kitanzi cha mume mwenza,,wao wmeshaoa na kuolewa wapo makwao ukiwaendekeza it will eat on your side!!!!!

Kwa kuwa alikuwa ananifahamu wala sikubold wala ku italicize na somo lilieleweka!!!!

Kazi kwenu mnaotaka kupeleka mahari kwa hummer za kukodi na Akudo!!!!
 
man-and-woman-.jpg

Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu Gheto kwako uishi nae kinyumba ,ila kuoa jasho la meno litakutoka.

Ukipeleka Ombi la kuoa ujiandae kwa gharama zifuatazo kut
oka Familia ya Bibi Harusi Mtarajiwa:
1.Blanketi la Bibi kutoka Home Shopping centre vipisi viwili,rangi ya Purple
2.Blackberry Q10 ya Mshenga
3.iPhone7 Water Proof(itakuwa imetoka) ya Baba Mkwe
4.3-Piece-Suit ya NGOWI. kwa ajili ya Mjomba wa Bibi harusi aliyemsomesha Bi harusi sekondari huko mwanalugali
5.Samsung Galaxy 9 Bold-Wipe Screen ya Mama wa Ubatizo wa bibi harusi
6.iPad ya Kungwi wa bi harusi
7.Koti la Single button Leather by Martin Survivor Kadinda kwa babu wa bi harusi kutoka Ileje
8.Mahari itajumuisha Less-Wig Brazillian Hair kwa mama mzaa chema,na Table sets za mninga kutoka Orcadeco..Hapo bado hujanunua Suti yako,Shela ya Bi Harusi ambaye atang'ang'ania litoke Uturuki,na hapo ana kijacho chako cha miezi 4 kishaanza kutuna kama kitenesi,bado hujalipia Ukumbi Mwika Social Hall,hujammalizia MC Luvanda milioni 4 ya kuwa MC wa harusi yako...THUBUTUU YAKO!
Ukipewa Bili TOTAL utakuwa umehamishia mawazo kumalizia ujenzi wako wa nyumba iliyoko Site kule Goba,utaona kuoa ni upotevu wa hela na muda.
Ndugu yangu heri uoe sasa,usiwaone watu wamechangamka kuoa hii miaka 2 ukajua ni bahati mbaya,WAMEONA MBALI..Ikifika 2017 utaomba Poo,sasa hivi we jishaue kuchagua-chagua tu Mke wa kuoa kama uko mitumbani Karume,Heri uoe huyohuyo hata kama miguu yake imepinda kama Upinde wa Mvua itanyooka mkiwa Honeymoon

SOURCE: HANCE LYMO

Mbwembwe zote hizo, bila shaka utakuwa unaoa MHAYA...... LOL
 
wazo la leo keshokutwa; kuzaa mtoto mbaya si kosa lako ila kuoa mke mbaya ni uvivu wa kuchagua.
 
Masuala mengine sijui watu wanayachukuliaje

Hivi mimi nimwambie binti kuwa nataka nimuoe halafu niambiwe sijui mahari ni milioni sijui ngapi,halafu yeye alazimishe ndoa ya gharama kubwa

Kwani mwanamke ni yeye tu duniani????

Kwani ni lazima nimuoe yeye tu?

Wakati mwingine tunajipa matatizo wenyewe tu

Dunia ina watu karibu bil 7

Kati ya hao wanawake ni zaidi ya bil 4

Halafu ki mwanamke kimoja kikukoseshe usingizi

Wewe si utakuwa una matatizo ya akili tena serious????

Ninapomuona mtu anapatwa wehu kwa sababu ya mtu mmoja kama sio mtoto mdogo basi huyo atakuwa na matatizo sana

Kama wanakuletea longolongo unawapa option tu

Moja;Wakubaliane na wewe umuoe huyo binti

Pili;Hawataki uachane nae utafute mwingine

Maisha yenyewe mafupi halafu ujiwekee mastress ya hovyo hovyo kisa mwanamke?????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ya nini?????????????????????
 
mimi mwenyewe sina ipad/gslaxytab etc na sinunui nguo HSC, sembuse za mshenga/mkwe/kungwi(LOL).
gharama zikizidi piga mimba, weka ndani tuone watafanyaje.
 
huyu mtoa mada hizo mahari za simu aliombwa wapi jamani na hizo gharama mc Luvanda mbona hafiki kwenye 4 million?
 
man-and-woman-.jpg

Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu Gheto kwako uishi nae kinyumba ,ila kuoa jasho la meno litakutoka.

Ukipeleka Ombi la kuoa ujiandae kwa gharama zifuatazo kut
oka Familia ya Bibi Harusi Mtarajiwa:
1.Blanketi la Bibi kutoka Home Shopping centre vipisi viwili,rangi ya Purple
2.Blackberry Q10 ya Mshenga
3.iPhone7 Water Proof(itakuwa imetoka) ya Baba Mkwe
4.3-Piece-Suit ya NGOWI. kwa ajili ya Mjomba wa Bibi harusi aliyemsomesha Bi harusi sekondari huko mwanalugali
5.Samsung Galaxy 9 Bold-Wipe Screen ya Mama wa Ubatizo wa bibi harusi
6.iPad ya Kungwi wa bi harusi
7.Koti la Single button Leather by Martin Survivor Kadinda kwa babu wa bi harusi kutoka Ileje
8.Mahari itajumuisha Less-Wig Brazillian Hair kwa mama mzaa chema,na Table sets za mninga kutoka Orcadeco..Hapo bado hujanunua Suti yako,Shela ya Bi Harusi ambaye atang'ang'ania litoke Uturuki,na hapo ana kijacho chako cha miezi 4 kishaanza kutuna kama kitenesi,bado hujalipia Ukumbi Mwika Social Hall,hujammalizia MC Luvanda milioni 4 ya kuwa MC wa harusi yako...THUBUTUU YAKO!
Ukipewa Bili TOTAL utakuwa umehamishia mawazo kumalizia ujenzi wako wa nyumba iliyoko Site kule Goba,utaona kuoa ni upotevu wa hela na muda.
Ndugu yangu heri uoe sasa,usiwaone watu wamechangamka kuoa hii miaka 2 ukajua ni bahati mbaya,WAMEONA MBALI..Ikifika 2017 utaomba Poo,sasa hivi we jishaue kuchagua-chagua tu Mke wa kuoa kama uko mitumbani Karume,Heri uoe huyohuyo hata kama miguu yake imepinda kama Upinde wa Mvua itanyooka mkiwa Honeymoon

SOURCE: HANCE LYMO

kaka mbona hujajumuisha brand new laptop ya mdogo wake bibi harusi tumbo moja yule anaesoma international school?
 
Masuala mengine sijui watu wanayachukuliaje

Hivi mimi nimwambie binti kuwa nataka nimuoe halafu niambiwe sijui mahari ni milioni sijui ngapi,halafu yeye alazimishe ndoa ya gharama kubwa

Kwani mwanamke ni yeye tu duniani????

Kwani ni lazima nimuoe yeye tu?

Wakati mwingine tunajipa matatizo wenyewe tu

Dunia ina watu karibu bil 7

Kati ya hao wanawake ni zaidi ya bil 4

Halafu ki mwanamke kimoja kikukoseshe usingizi

Wewe si utakuwa una matatizo ya akili tena serious????

Ninapomuona mtu anapatwa wehu kwa sababu ya mtu mmoja kama sio mtoto mdogo basi huyo atakuwa na matatizo sana

Kama wanakuletea longolongo unawapa option tu

Moja;Wakubaliane na wewe umuoe huyo binti

Pili;Hawataki uachane nae utafute mwingine

Maisha yenyewe mafupi halafu ujiwekee mastress ya hovyo hovyo kisa mwanamke?????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ya nini?????????????????????

kaka ushawahi kupenda wewe? chezeiya malavidavi eeh, utaona dunia nzima yupo peke yake.
 
Back
Top Bottom