Mpapatu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 221
- 121
Za Asubuhi wanajamvi kwanini katka Mahusiano wanawake ndo wanajijali sana kuliko wapenz wao? Unaweza kuta mwanaume anajituma Amridhishe kwa kila kitu lakin unakuta mdada anaweka personal matters mbele instead ya kumjali mwenzie....
Naomba kuwasilisha Mada.
Naomba kuwasilisha Mada.