kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Ukimtokea binti akikupa jibu moja wapo kati ya hayo 9 niliyo orodhesha chini tambua kwama binti ajakukubali, akili kimkichwa.
1. Nakuchukulia wewe kama kaka yangu
2. Umri wetu umepishana kidogo sana, kwa hiyo aitawezekana
3. Sijavutiwa na wewe in that way
4. Maisha yangu yako to complicated right now, aitawezekana.
5. Nina boyfreid
6. Sifanyi mahusiano na mwanaume sehemu ninayofanya kazi.
7. Nipo na concentrate on my career, sina mda mchafu.
8. Nimeokoka, kwa hiyo moyo wangu belongs to God
9. Vyema tuwe marafiki tu.