News:mapenzi kama dini amini tu

News:mapenzi kama dini amini tu

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
hii ni mtizamo wangu,mapenzi yachukulie kama dini tu yaani amin tu anakupenda na wewe unampenda,ukitaka kujua kwa asilimia ngapi,ukitaka athibitishe,akununulie zawad ndo uamin etc etc utapoteza iman,amin kama vile uendavyo kanisani ama msikitin unaomba na kuamin maombi yamefika,unatoa sadaka ukiamin unamtolea mwenyezi mungu,ukitaka kuchunguza sana mwisho hutatoa sadaka ama.............
 
absolutely
you love someone,
trust with all you heart,
respect him/her,
give all you have, and do everything to make him/her happy
think of him/her all the time
.....but once one heart is broke.. oooh My God..its hard to tell men
 
Back
Top Bottom