Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

''MWANAMKE KICHECHE KAMEZA SIMU ILI BOYFRIEND WAKE ASISOME MESEJI ILIOINGIA GHAFLA!' Mwanamke wa miaka (19) kutoka Brazil anayeitwa Adriana Andrade alikuwa so desperate kumficha...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
heloooo habari za mihangaiko wajameni,leo nataka tu tuwekane sawa kuhusu jambo moja ambalo limekua likiyumbisha mahusiano ya watu wengi na wakati mwingine kupelekea usaliti ama kuvunjika kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna watu humu jukwaani wamekuwa wakiwaponda sana watu wafupi kutoka na ufupi wao, sasa kama wewe unaona ni mrefu haya tuambie una urefu wa kimo gani? mimi binafsi najua watu warefu wapo wachache...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
imekuwa ni habr ya town now kila mweny boyfriend ambaye anaishi peke yake yupo na girlfriend (anaanza kuishi nsye). Sasa mimi nashindwa kuelewa inakuwaje. Mimi sijui ni ushamba, hii style ya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimekaa kwenye mahusiano seven years mara tuachane mara turudiane dah mpak inaboa hata sitamani tena kuolewa naye
3 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu hatujambo sote. Jamani me nina tatizo moja naomba mchango wenu. Niliolewa na mume wangu halali kabisa wa ndoa. Mwanzoni tulipendana sana, lakn gafla mwenzangu...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Hivi kupekua simu ya mpeni wako ni ndio kuonyesha kua unampenda sana au ni ushamba
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kama ww n kijana wa kiume miaka yako n kuanzia 27 na kuendelea na unataka uwe kwenye ndoa yenye utulivu na aman na yenye upendo tafuta mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Kwanza...
9 Reactions
78 Replies
9K Views
Mambo vp wa MMU... hop mko poa sana bna. Hoja mbele yenu nikutaka kufahamu toka kwa wote wenye uzoefu au walio pitia haya kama mimi. Ni muda sasa wa pata miaka 3,tangu niwe nagegeda manzi...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Hivi unapomtongoza msichana,halafu akakuambia atakufikiria..huwa wanaenda kufikiria kweli au huwa wana maana gani?naomba kuelimishwa juu ya hilo,maana chemistry ya hawa viumbe ni ngumu sana kuielewa.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Play a sport. It will teach you how to win honorably, lose gracefully, respect authority, work with others, manage your time and stay out of trouble. And maybe even throw or catch. 2. You...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Vision Marry someone that believes strongly in your vision.The person doesn't need to do same profession like you. However the person MUST have kin interest in your vision. It will inspire...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Dah sjui hii link itatokea maana natumia simu..But it is an interesting read. We met online, and now we are happily married - Sound Living - thecitizen.co.tz - We met online, and now we are...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
mim ni msichan nina miaka 25 marafik zangu wa zaman wananiboa cz tumekuwa sio marafik tena tumekuwa ni watu wa kuchunguzan na kuchekana kam mwenzetu akikosea kwenye life something wich is not good...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku...
1 Reactions
93 Replies
12K Views
-mahari - je inaruhusiwa kufanya mapenzi kabla ya ndoa -vipi wakati wakujifungua -vyakula - kuwapa watoto majina na kutaja majina ya wanaukoo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninapotafakari kuhusu kuengezeka kwa maambukizi ya VVU hapa nchini,akili ya kawaida inaniambia kuwa hii inatoke kila siku na kila saa, hii inamaanisha kwamba kuna watu hata sasa kuna watu wapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kipindi hichi, dunia inaishi na watu siyo waaminifu. Kwa asilimia kubwa wanaume kwa wanawake wanakuwa na mipango ya kando. Pamoja na yote naamini kwamba kuna watu kama mimi (sijisifu) ambao...
16 Reactions
90 Replies
7K Views
Habari za asubuhi wanajamii, Swali langu ni kuwa, hivi kuna uwiano/mpatano (compatibility) kitandani? Kwa mfano, kwenye mpira unaweza kukuta kuna kiungo mshambuliaji(atacking midifilder) mzuri na...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Samahan nimeona niifute hii post kwasababu maalum. Nawashukuru wote mliochangia post hii kwa namna moja ama nyingine mmenisaidia sana, Mungu awabariki nyote
2 Reactions
195 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…