Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Kuna watu humu jukwaani wamekuwa wakiwaponda sana watu wafupi kutoka na ufupi wao, sasa kama wewe unaona ni mrefu haya tuambie una urefu wa kimo gani? mimi binafsi najua watu warefu wapo wachache sana mitaani.