walang hanggan
Member
- Sep 1, 2013
- 13
- 0
Hivi kupekua simu ya mpeni wako ni ndio kuonyesha kua unampenda sana au ni ushamba
Kwan line.inasajiliwa kwa.jina la nani???!!!
mhhh hapo kuna ulakini..IF YOU DO ME I DO YOU...mimi anashika yangu.....(na password anaijua).....ila ya kwake siwezi kushika......sijui hata ni kwa nini.......?
kwanini uogope mpenzi wako kushika cm yako??!???
Haijalish imesajiliwa kwa jina la
nan..
Mimi mke wangu simu yangu anashika, anasoma conversations zote, anaangalia call logs, kiufupi anajua kabisa nimefanya nini. Hii sio wivu ila kumbuka NDOA ni kitu kimoja. Sina tatizo na yeye kuona chochote na kuniuliza. Sina siri kwake. Mke wangu na mimi ni kitu kimoja.
Mimi simu yake nashika, nasoma conversations zake na marafiki zake wa kike na kiume, ndugu zake pia naangalia call logs, naangalia alibrowse nini, emails etc. Hii haimaanishi simuamini. Ila ni kufanya tuwe wote kwenye mstari mmoja. Hatufichani kitu.
AMINI NAKWAMBIA KAMA UNA MAMBO MACHAFU MACHAFU UTAKUWA MUOGA MKE/MUME WAKO AKISHIKA SIMU.
Ndoa ni mwili mmoja!
zoezi hili mmelifanya mpaka kwenye kusajili line zenu kwa jina moja???

Kweli kabisa! Kuna msiri mwingine duniani zaidi ya mume au mkeo? Acha aone mawasiliano yote na matumizi mengine. Kasheshe kwenye hela!!!! hahahaha......