uwiano/mpatano (compatibility) kitandani

uwiano/mpatano (compatibility) kitandani

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,995
Reaction score
2,017
Habari za asubuhi wanajamii,
Swali langu ni kuwa, hivi kuna uwiano/mpatano (compatibility) kitandani?
Kwa mfano, kwenye mpira unaweza kukuta kuna kiungo mshambuliaji(atacking midifilder) mzuri na mshambuliaji(striker) bora ila wasiwe na mafanikio kwa sababu hawapatani. Labda krosi ikipigwa inashindwa kufikiwa na vitu kama hizo.

Sasa je kitandani unaweza kukuta wapenzi/wanandoa wanapendana kidhati kabisa na kwenye mambo mengine wanawiana.
Mwanamke anasema huyu ndiye mwanaume wa ndoto zangu na mwanamume vivyo hivyo.
Lakini sasa wakija kitandani hawaendani?
Yani wote ni wazuri kabisa kiafya na hawana shida kwenye mapenzi ila basi tu hawaendani.

Yani wakifanya hivyo wanafikia hitimisho wote lakini basi tu mtu unafika lakini hukupenda kufika hivyo?
(Kama labda umesimama sanaaa kwenye daladala na posta umefika ila ulipenda labda uende posta umekaa?)
 
Can you be a little specific?
Kutoendana kitandani unamaanisha nini?
1. Nguvu ya mchezo?
2. Mahitaji/hamu ya mchezo?
3. Size ya viungo vya mchezo?
4. Style/namna/beats za mchezo?
au?
Maana kwa maoni yangu kila kimoja kati ya vina athari (-&+) tofauti.
 
Ipo na inatokea sana,malalamiko lukuki!!!!

Maswali ya da Kaunga ni mujarabu

Kuongezea tu hapo kuna utayari wa kiakili, wengine wanaita stimu,psychological commitment,usafi! !!!

Kutokuendana ni matokeo lazima kuna chanzo/vyanzo!!!!!

Yaani nakupenda sana .... u seem to know women! Mkeo kapata mume wallah
 
Ipo na inatokea sana,malalamiko lukuki!!!!

Maswali ya da Kaunga ni mujarabu

Kuongezea tu hapo kuna utayari wa kiakili, wengine wanaita stimu,psychological commitment,usafi! !!!

Kutokuendana ni matokeo lazima kuna chanzo/vyanzo!!!!!

hapa nahisi ni sababu kubwa kuna mda unataka tu mwenzio amalize basi
 
Can you be a little specific?
Kutoendana kitandani unamaanisha nini?
1. Nguvu ya mchezo?
2. Mahitaji/hamu ya mchezo?
3. Size ya viungo vya mchezo?
4. Style/namna/beats za mchezo?
au?
Maana kwa maoni yangu kila kimoja kati ya vina athari (-&+) tofauti.

Haijalishi category dada kaunga, yani kuwepo kwa kutofautiana mapendeleo ya vitu ulivyovitaja basi vinaweza kuharibu kila kitu. Ukafikishwa lakini bado ukasema hufurahii mchezo?
 
hapa nahisi ni sababu kubwa kuna mda unataka tu mwenzio amalize basi

Nikikugundua unazuga fasta nahamia cocoa butter bora unambie mapema kuwa huna mzuka ili nijue mapema kuwa hapa nakunywa juice ya kiwandani yenye artificial flavour ya tunda
 
Nikikugundua unazuga fasta nahamia cocoa butter bora unambie mapema kuwa huna mzuka ili nijue mapema kuwa hapa nakunywa juice ya kiwandani yenye artificial flavour ya tunda

amekwambia leo sina mzuka,na we unasema unahitaji sasa hapo anafanyaje!!!!!!!

ndio maana mtu anakuacha uendelee kula,ye kazi yake kuhesabu magoli tu...,
 

Ewaaa!
Yani kule kule bishosti!
Dada @
Kaunga njoo huku. Yani unakuta mlikuwa wote ghafla mdada ndo anafikia hapa na mmeanza vizuri tu. Yani bora liende afadhali kufika


Inatokea, na inaweza ikawa kwa mtu yule yule ambaye siku zote anakuliza kwa utamu.
 
Tabia hii wanayo wanawake,,utaulizwa umemaliza mara nyiiiiiiiingi mpaka unaboreka kisa ye kafika,, nahate
 
ipo na kwa kiingereza inaitwa sexual chemistry - kama haipo hii mara nyingi uhusiano haufiki mbali. ndio maana kuna watu wanaoana na watu wenye mvuto/uzuri mdogo na wengine wanashangaa inawezekana wana sexual chemistry. kupata mtu utakaekuwa na sexual chemistry ni ngumu kidogo na ukimpata utafaidi sana. kuna wadada wazuri lakini kitandani zero and vice versa na hawa ndio wale wasiodumu nwenye mahusiano despite their beauty
 
..hakizoeleki hata siku moja...ukikariri inakula kwakooooo....mapenzi mazuri lazima mmoja wapo au wote muwe na umbululaaaa kiasi fulani
 
Mkuu umeelezea vizuri! Embu nisaide chanzo ktk hali ifuatayo:-
X na Y wanapendana sana! Wanachat vizur, maongezi yao ya kupendeza kwakweli! Kila mmoja anapenda uwepo wa mwenzie, lakini wakifika 6 kwa 6 yule Y (ke) ananyong'onyea kabisaaaa! Yaani gogo la ukweli! Unapiga kiki hata kujishikilia mwenyewe hawezi! Na ukipiga kimoja tu, hatoi tena!

Ipo na inatokea sana,malalamiko lukuki!!!!

Maswali ya da Kaunga ni mujarabu

Kuongezea tu hapo kuna utayari wa kiakili, wengine wanaita stimu,psychological commitment,usafi! !!!

Kutokuendana ni matokeo lazima kuna chanzo/vyanzo!!!!!
 
Duh noma sana, kina ngoma nyngne utajuta kukutana nazo, nje na ndan tofaut kabisa, kwa wadada na wakaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom