Najutia kubalehe..

Najutia kubalehe..

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Mambo vp wa MMU... hop mko poa sana bna.

Hoja mbele yenu nikutaka kufahamu toka kwa wote wenye uzoefu au walio pitia haya kama mimi.

Ni muda sasa wa pata miaka 3,tangu niwe nagegeda manzi mmoja anatokea pande za bukoba..

Nakiri kua nilijitoa sadaka kwa kila namna juu yake coz nilimpenda.

Chaajabu tangu afike UDOM imekua shdaaaa.. Haeleweki hata kidogo, amekua mtu wa kutaka big results now,migogoro daily,nikimuuliza anajibu utumbo mtupu,akiomba kiasi cha mkwanja ukimpa harudishi feed back kama amezipata anakaa kimya,mpaka umpigie umuulize kma ameipata au lah,

to be honest nimepoteza imani juu yake kabisa,but nimezaliwa mwanaume imenipasa nivumilie coz najua maisha nilazima yaendelee hata bila ya uwepo wake kwangu.

MSAADA unao itajika utokane na maswali haya plz.?

Hivi wanawake wanajua kweli wanacho kitaka toka kwa wanaume juu ya mapenzi.?

Nifanye nini ili niweze kumtambua mwanamke anaejua thamani ya uchi wake kwa mwanaume mwenye malengo nae ktk maisha.?

Nb.: naitaji michango yenu yenye busara juu ya hili jambo,wote mnakaribishwa.

Cc: mods siitaji kinyongo na nyie mana hamchelewi kuondoa uzi nazo tupiaga.

Finito..
 
Ukipata jibu la nini wanawake wanchokitaka kwetu tafadhali nijuulishe, yoyote anayeweza kujua hili atasaidia sana ulimwengu huu
huwezi kutambua mwanamke anayejuwa thamani yake
Mambo vp wa MMU... hop mko poa sana bna.

Hoja mbele yenu nikutaka kufahamu toka kwa wote wenye uzoefu au walio pitia haya kama mimi.

Ni muda sasa wa pata miaka 3,tangu niwe nagegeda manzi mmoja anatokea pande za bukoba..

Nakiri kua nilijitoa sadaka kwa kila namna juu yake coz nilimpenda.

Chaajabu tangu afike UDOM imekua shdaaaa.. Haeleweki hata kidogo, amekua mtu wa kutaka big results now,migogoro daily,nikimuuliza anajibu utumbo mtupu,akiomba kiasi cha mkwanja ukimpa harudishi feed back kama amezipata anakaa kimya,mpaka umpigie umuulize kma ameipata au lah,

to be honest nimepoteza imani juu yake kabisa,but nimezaliwa mwanaume imenipasa nivumilie coz najua maisha nilazima yaendelee hata bila ya uwepo wake kwangu.

MSAADA unao itajika utokane na maswali haya plz.?

Hivi wanawake wanajua kweli wanacho kitaka toka kwa wanaume juu ya mapenzi.?

Nifanye nini ili niweze kumtambua mwanamke anaejua thamani ya uchi wake kwa mwanaume mwenye malengo nae ktk maisha.?

Nb.: naitaji michango yenu yenye busara juu ya hili jambo,wote mnakaribishwa.

Cc: mods siitaji kinyongo na nyie mana hamchelewi kuondoa uzi nazo tupiaga.

Finito..
 
kama tayari unajua waweza endelea bila uwepo wake then iwe hivyo, me nilidhani yan ndo huelewi hata cha kufanya juu yk bt kumbe unajua kuwa hutakiwi kuendelea nae
 
mwanmk akiwa mbal na ww jua sio wako unadhan ni vdume vngap vnammezea mate? km unampa pesa endelea 2. "act km dngi ake"
 
Mambo vp wa MMU... hop mko poa sana bna.

Hoja mbele yenu nikutaka kufahamu toka kwa wote wenye uzoefu au walio pitia haya kama mimi.

Ni muda sasa wa pata miaka 3,tangu niwe nagegeda manzi mmoja anatokea pande za bukoba..

Nakiri kua nilijitoa sadaka kwa kila namna juu yake coz nilimpenda.

Chaajabu tangu afike UDOM imekua shdaaaa.. Haeleweki hata kidogo, amekua mtu wa kutaka big results now,migogoro daily,nikimuuliza anajibu utumbo mtupu,akiomba kiasi cha mkwanja ukimpa harudishi feed back kama amezipata anakaa kimya,mpaka umpigie umuulize kma ameipata au lah,

to be honest nimepoteza imani juu yake kabisa,but nimezaliwa mwanaume imenipasa nivumilie coz najua maisha nilazima yaendelee hata bila ya uwepo wake kwangu.

MSAADA unao itajika utokane na maswali haya plz.?

Hivi wanawake wanajua kweli wanacho kitaka toka kwa wanaume juu ya mapenzi.?

Nifanye nini ili niweze kumtambua mwanamke anaejua thamani ya uchi wake kwa mwanaume mwenye malengo nae ktk maisha.?

Nb.: naitaji michango yenu yenye busara juu ya hili jambo,wote mnakaribishwa.

Cc: mods siitaji kinyongo na nyie mana hamchelewi kuondoa uzi nazo tupiaga.

Finito..

kaka ndio kishafika chuo huyo jikkatae mapema uwe free tu..
 
Sijui ulianza ku-date naye akiwa na miaka mingapi ila mimi nikitoka na demu under 20, au demu ambaye hajakuwa exposed sana (wa mikoani na wa-geti kali) huwa najiandaa kwa lolote.....
pole sana brother ila jua ukiona manyoya...............................................
 
aksante mkuu,inabid nianze kufata formula yako bna..
 
kama tayari unajua waweza endelea bila uwepo wake then iwe hivyo, me nilidhani yan ndo huelewi hata cha kufanya juu yk bt kumbe unajua kuwa hutakiwi kuendelea nae

nalielewa hilo ndo mana nikaamua mapema kufanya yanayo nihusu
 
Sijui ni asilimia ngapi kama ipo ya watu waliokua na wapenzi wao na mapenzi yakaendelea baada ya kuwa au kumaliza chuo!! Muda wa mapenzi na huyo umeisha tafuta mwengine, kama wataka kumsaidia hela ya matumizi sio mbaya, lakini mapenzi hapo finito..
 
Hela yako anamnunulia chakula Bwana ake wa chui ili apate nguvu ya kugegeda.
 
women are very stupid and idiot.
ukiuliza mwamke akwambie thamani ya uchi wake hupati jibu manake kila peni.s itapita.
wanafuata upepo.
hawa viumbe weka kwa akili yako kwamba ni inferior then wewe uwe superior utawin a woman kila mahali.

ukisumbuliwa akili na mwanamke ujue akili yako ni kama ya kike au below.
 
usitafute thamani ya uchi wa mwanamke hutaipata tafuta mwanamke anaejua thamani ya utu wake hapo utampata mwanamke wa maisha yako
 
Ela yako inatolesha Fotokopi za madesa ili basha wake mpya apate kula buku vizur na chenj anamnunulia Konyagi kumpa nguvu ya kumfinya vizuri week end, hao siku hizi wako wengi kuliko Nzi feri, tumia kanuni ya Kata Mti panda mti hutabaki na Jangwa!
 
Heh...pole sana kwa maumivu ya moyo
Usijutie kubaleghe kwani ndo ukubwa huo...tatzo ni mambo utakayokabiliana nayo soon after hiyo baleghe
Wewe ni mtu mzima sasa na ndo mana unareason kwanini huyo mupenzi wako amebadilika
Binafsi sikushauri uwe naye tena atakuumiza zaidi coz mpaka hapo ameshakuonesha dharau vya kutosha!

Tumetofautiana..kila mtu ana thamani yake kutokana na relationship aliyonayo.
 
Haya maneno umeyaandika kwa uchungu sana,mtu mzima yeyote lazima agundue.Kwa kifupi mkuu,huyo ameishajiona matawi,baadhi yao huwa hawajui thamani ya miili yao,hivyo songa mbele.Kuna mmoja alikuwa wa rafiki yangu akaleta kama hizo,siku aliyorudi akakuta jamaa yuko mbali sana akabaki kumezea mate.Tamaa inawasumbua sana hawa viumbe.Iko siku hata huyo wako atakumbuka umuhimu wa kutoa feedback baada ya kuwa ametumiwa hela,sasa hivi bado ni kipofu.
 
Back
Top Bottom