Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.9K
Posts
231.3K
Threads
7.9K
Posts
231.3K
Huku Mbeya tuna family friend ambaye ni kama ndugu, huyu mzee namfahamu kama bamkubwa toka 2008, huyu mzee watoto wake wote wamepiga shule za nje ya nchi na waliosoma hapa bas ni shule nzuri ni...
16 Reactions
80 Replies
3K Views
Ikiwa wale wanaokusudia kuoana hawataki kuwa na mashaka mengi wala kuwa na mambo kadha wa kadha ya kuwanyima furaha baada ya kufunga ndoa, imewalazimu kufikiria vyema na kwa moyo wote juu ya...
35 Reactions
645 Replies
255K Views
Kundi la wafanyabiashara hii kongwe zaidi nchini na duniani ni kubwa mno. Watu hawa wako kila Kijiji/mtaa, kata , wilaya na mkoa. Kama tukiwasajili na wakalipa kodi, kitakuwa chanzo kikubwa sana...
3 Reactions
5 Replies
193 Views
Kusema tu ukweli utu uzima (adulthood) sio rahisi kwa kila mtu. Watu wako busy trying to make something out of their lives. Wengine wanadeal na heartbreaks huenda zilizosababishwa na mgogoro wa...
40 Reactions
64 Replies
1K Views
Wanaume tunatakiwa kuelewa hata mwanamke mwenye nia njema atataka hela yako. Wanawake pia wanatakiwa kuelewa hata mwanaume mwenye nia njema atataka sex. Ni matrix ambayo hauwezi kuiepuka. Sio...
31 Reactions
80 Replies
2K Views
Mwanaume ambaye ameacha kazi zake kwa ajili ya kujali mahusiano/mwenza wako huwa anakwenda kupoteza vitu viwili kwa pamoja kwanza anakwenda kumpoteza huyo Mwanamke wake ,kisha anapoteza kazi/ndoto...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni kujibiwa hili swali tafadhali Hivi kwanini wanaume mnakuaga na hela zile wiki za mwanzo tu tunapokutana na nyie? Alafu baada ya hapo huwa hatuzionagi tena?
13 Reactions
90 Replies
1K Views
Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko? Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
6 Reactions
31 Replies
549 Views
Juzi nimemfuma mpenzi wangu na lijamaa linamla nyumbani kwake ni bint ambaye nina mihadi nae kumuoa ni kabint flan hivi karembo ukipita nako mtaani aah kwakweli sijaona wa kufananisha nae...
7 Reactions
16 Replies
304 Views
Hii hoja ni ya kuwekea lamination maana kimasihara unaweza kuishia nyuma ya nondo bila kosa.
11 Reactions
93 Replies
2K Views
Habari JamiiForums Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea. Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015. Ni kama juzi tu tangu hayati...
10 Reactions
64 Replies
443 Views
Kwema wakuu Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi...
21 Reactions
60 Replies
910 Views
Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika...
40 Reactions
406 Replies
32K Views
Jamaa yangu amempata binti kutoka Tarime, walipatana kwa kukosea namba tu hawajawahi kuonana isipokuwa kuchati, kupigiana simu, video calls na kutumiana picha. Jamaa anasema wamependana kweli...
12 Reactions
85 Replies
1K Views
Wakuu, Umewahi kuomba tendo la ndoa kwa mke au mume wako? Je unaombaje? Kwa upande wangu huwa naomba hivi "Mke wangu naomba tamuu" nae mke wangu anasema "Mume wangu leo tunapumzika maana wewe ni...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
-kama unajijua wewe ni pc kali/handsome boy weka sifa zako hapa tuzichambue.
0 Reactions
9 Replies
145 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu.. Nimeamua kujiengua rasmi kutoka kwa binti wa kimeru niliye mzimikia kwa akili zangu timamu hata kufikiakuhitaji kumuoa, kipindi cha nyuma niliamua kumuanzishia...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
🔥💪FANYA HIVI KUCHELEWA KUFIKA KILELENI ⬇️ Leo tena tunagusa kitu cha msingi sana tumia dakika 3-5 tu—kuunganisha pumzi zako na mawazo yako. Kila unapovuta pumzi, unaruhusu utulivu kuingia ndani...
2 Reactions
16 Replies
712 Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…