mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,287
- 9,162
Juzi nimemfuma mpenzi wangu na lijamaa linamla nyumbani kwake ni bint ambaye nina mihadi nae kumuoa ni kabint flan hivi karembo ukipita nako mtaani aah kwakweli sijaona wa kufananisha nae kwenye nchi ile ya Kenya, inaumiza sana kugongewa ila nishapenda nitafanyaje sasa??