nimejifunza kitu, naomba usome hii.

nimejifunza kitu, naomba usome hii.

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Mara ya mwisho nilionana na mdada flani miaka ya 1995 tukiwa mjini Bukoba. Nimekuja kuonana naye jijini Mwanza akiwa tayari kaishaolewa, nami nimeoa tayari. Tulikumbukana kwa kuwa nilikuwa na haraka akanambia nimpe namba ya sm ili tuongee zaidi.
Tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa sms na kwa kuongea. J.mosi mme wake akampa kipondo kwa kumlaum eti ana mahusiano ya kimapenzi nami. Jana asubuhi huyo mdada kanipigia sm akidai ana maongezi na mimi; nilimshangaa kumuona akiwa kavimba uso.

Kauli ilonishangaza ni hii

"Kwa kuwa kanituhumu kwa jambo ambalo halipo, nakuomba tutimize ili lawama zake ziwe za kweli"

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana, hupaswi kumtuhumu mpenzi / mke / mme wako kwa jambo usilokuwa na uhakika nalo kwani kufanya hivyo ni kama kumwanzishia mawazo mabaya.
 
kumbe umeoa.....lile bandiko kule ni la nini tena? hujatumalizia story alivyokwambia hivyo we umemjibu nini maana hapo ndo napasubiria kweli kweli

Mengine siri yangu dada!
 
Siyo kweli bana huyo alikuwa tayari ana hard feelings na wewe. Bahati mbaya mumewe akaistukia mapema mienendo yake.
Sasa kipondo kimemsaidia ku accelerate hizo feelings. Be care Mkuu, mke wa mtu hatari!
 
kwa taarifa yako sisi ambao umri uko juu jambo hilo ni la kawaida sana.

hahaha umenikumbusha jamaa yangu alikuwa analaumiwa na wife kuwa anapiga house girl jamaa akaona isiwetabu akafanya kweli na kwa maneno ya wife yalimpunguzia kazi yakumpata hg. si vyema kumlaumu mtu kitu usichokuwa na uhakika.
 
Au mlikuwa mnachat sana kuliko anavyochat na mumewe then mume wake akajifil vibaya, na kiukweli si vizuri mke wa mtu kuwa busy eti unachat na mwanaume mwingine huku una mumeo anythn can hapen there in between
 
Tuhuma ni za kweli hizi mkuu sema unajitetea tu,ushamla huyu mdada

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kumbe umeoa.....lile bandiko kule ni la nini tena? hujatumalizia story alivyokwambia hivyo we umemjibu nini maana hapo ndo napasubiria kweli kweli

Asnam, uchokozi huo sasa, unajuaje kama na huyo mumewe nae ni member humu?
 
I like the way you think! uko na mumeo but mtu ndo kuchat mpaka usiku wa manane!
 
Hata mimi yameshanikuta hayo, ila imefikia hatua huyo mwanamke kila wakati ananitafuta. Ameamua kusajili line mpya kwa ajili ya kunitafuta ila kila wakati namkwepa.
 
Bwana! Utakuwaje Na mawasiliano yasio ya kawaida na mke wa mtu.sasa kapigwa mwanamke Zam yako Inakuja.tia Maji mkuu mwenzio Kanyolewa tayar.
 
Ndoa na past relationships ni majanga!!! Hasa kama ndoa zenu ni za mauzuza, kila siku ni kero tegemea kabisa kama mmoja akikutana na wa kale wake basi pale inakuwa ni kituo cha kupunguzia stress!!!
 
Mara ya mwisho nilionana na mdada flani miaka ya 1995 tukiwa mjini Bukoba. Nimekuja kuonana naye jijini Mwanza akiwa tayari kaishaona, nami nimeoa tayari. Tulikumbukana kwa kuwa nilikuwa na haraka akanambia nimpe namba ya sm ili tuongee zaidi.
Tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa sms na kwa kuongea. J.mosi mme wake akampa kipondo kwa kumlaum eti ana mahusiano ya kimapenzi nami. Jana asubuhi huyo mdada kanipigia sm akidai ana maongezi na mimi; nilimshangaa kumuona akiwa kavimba uso.

Kauli ilonishangaza ni hii

"Kwa kuwa kanituhumu kwa jambo ambalo halipo, nakuomba tutimize ili lawama zake ziwe za kweli"

Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana, hupaswi kumtuhumu mpenzi / mke / mme wako kwa jambo usilokuwa na uhakika nalo kwani kufanya hivyo ni kama kumwanzishia mawazo mabaya.

Hilo ni pepo, hata mm mke wangu aliwahi kunituhumu kuwa nakula housegirl, muda si mrefu nikafanya kweli, ingawa halikuwa dhumuni langu toka mwanzo.
 
Ndoa na past relationships ni majanga!!! Hasa kama ndoa zenu ni za mauzuza, kila siku ni kero tegemea kabisa kama mmoja akikutana na wa kale wake basi pale inakuwa ni kituo cha kupunguzia stress!!!

una akili wewe!!!
 
Back
Top Bottom