Kwa mdada wa dodoma.

Kwa mdada wa dodoma.

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo.
Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi.
ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki msichana/mdada.

Mdada yeyote wa Dodoma anae hisi kua huru kua rafiki kwangu, kiroho safitu, ki- MMU
naomba ani-PM. Nitakua dodoma next week kimapumziko toka leo.
kutembea sehem tofauti za kiserikali kama ofisi, taasisi, sehem za kihistoria, sehem za starehe, n.k
ni interest kwangu napokua na muda wa kupumzika.

Angalizo, MDADA UWE MTU MZIMA TAFADHALI. MIAKA 18 and above.......
 
Ww sema tu unatafuta totoz humu bhana vp mbona unazunguuuka aagh!
 
nenda pale kwenye kuku wengi pataitwaje vile.....................................
 
Mkuu totoz si zipo hata za cash!
sometime ukiwa na mtu mwenye akili unapata japo challange.
hayo mengine yapotu kaka, hua hayapangwi.
 
heeee mbona hii shughuli jamani, ukienda Dodoma unaomba mdada, na baada ya mwezi ukienda Bukoba unaomba mdada Tanzania ina mikoa zaidi ya 25 mmmmmmmmmmm kazi kwelikweli, HAPO UJAPATA SAFARI ZA NJE YA NCHI.
 
unahitaji kabila la dodoma wagogo sijui warangi au hata mngoni anayekaa dodoma poa?
 
Mkuu totoz si zipo hata za cash!
sometime ukiwa na mtu mwenye akili unapata japo challange.
hayo mengine yapotu kaka, hua hayapangwi.

utakutana na kulumbembe litakuPM
 
Mkuu shda yote y nini!! Vyuo vnafunguliwa hukoo ! Walet yako tuuu!!!
 
^^
Teh teh teh ngono ugonjwa unaohitaji jina lenye ukakasi
^^
 
Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo.
Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi.
ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki msichana/mdada.

Mdada yeyote wa Dodoma anae hisi kua huru kua rafiki kwangu, kiroho safitu, ki- MMU
naomba ani-PM. Nitakua dodoma next week kimapumziko toka leo.
kutembea sehem tofauti za kiserikali kama ofisi, taasisi, sehem za kihistoria, sehem za starehe, n.k
ni interest kwangu napokua na muda wa kupumzika.

Angalizo, MDADA UWE MTU MZIMA TAFADHALI. MIAKA 18 and above.......


hahaaa....mkuu nafikiri umejitahd kutia nakshi ujuz wako wa ofisini uwadake totooz.
Kila la kheri....

UKIMWI UNAUA..
 
Back
Top Bottom