MAMA WATOTO simu yako itasababisha AJALI

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
UTANGULIZI.
leo katika majukumu yangu nililazimika kupanda pikipiki baada ya kusisitizwa niwahi ofisini kwa haraka sana japo huwa naogopa kupanda bodaboda.
HABARI.
wakati bodaboda inakwenda kwa takribani 65km/h tena kwenye barabara ya changarawe na kona kibao+milima.
DEREVA BODABODA kachukua simu,mkono mmoja unaendesha pikipiki na mwingine ukashikiliza simu sikioni jamaa akimpigia mtu simu,baada ya simu kupokelewa jamaa kasema "MAMA WATOTO NAKUPENDA SANA" dah nikaanza kuona hatari ya simu ya aliyeitwa mama watoto kuweza kusababisha ajali muda wowote,thanks to God jamaa mpaka anamaliza maongezi na mama watoto wake hatukupata ajali licha ya hatari ile,jamani ajali nyingine zinachangiwa na simu za wapenzi wetu,WADADA kuweni waelewa mkiambiwa baba watoto yupo kwa gari ili asisababishe ajali,na wakaka jamani msipigie hawa warembo munapoendesha vyombo vya moto.
 
Kwa nini ulishindwa kumwambie asimame kwanza au akate simu kutokana na dharura yako???? Boss umemwabudu kibarua...siiii sawa.
 
yote kheri kwa kuwa sikupata ajali,lakini nilipigiwa simu na nikaambiwa nisipande gari bali nichukue pikipiki,nilikuwa nawahi,japo kweli nilipaswa kumweleza.
 
Mi nikimchukua m'boda boda namwambia kabisa,uhai wangu ni muhimu kuliko kuwahi na simu ikipigwa ni bora asimamishe aongee nayo kwanza.!
 
Sasa kwanini wewe usinge mwambia akate aongee na mama watoto wake baadae..?
 
Una bahati sana maana mlistahili mpate ajali ili ujifunze kuwakatalia madereva kufanya watakavyo wakati wamebeba abiria. Soma ujumbe wanaoandika juma ya magari au bodaboda zao. (KULA KABISA KWA MUNGU HAKUNA HOTELI). (KAMA MWENDO UNATISHA, ZIBA BOMBA LA MOSHI) na mengine mengi.
 
Back
Top Bottom