Malimbwata Hata Majuuuuuu?????

Malimbwata Hata Majuuuuuu?????

Tamatheo

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,298
Reaction score
1,562
Watch mambo ya China, huku ndiko Mkutano wa Haki sawa ulifanyika. Kumbe kweli wanafuatisha kwa vitendo. Wanajamvi mnaonaje na sisi huku bongoland tuka adapt.......Toa maoni tupeleke mswada bunge lijalo.

Uhondo kwa hisani ya Gumzo la Jiji blog

​

Unajua kama kitu hicho kingetokea hapa Africa,watu wengi wangesema kala 'majani' ni msemo unaotumika kwa mwanaume anayetawaliwa na mwanamke wake.

Seriously,mwanaume gani anayeweza kumruhusu girlfriend wake,mchumba au mke wake amdhalilishe hadharani namna hiyo?

​
​
Mwanamke mmoja wa kichina amekamatwa na polisi baada ya kumlazimisha boyfriend wake apige magoti huku akimpiga makofi usoni.

Udhalilishaji huu ulitokea ijumaa iliyopita kwenye mji wa Kowloon,Hong Kong baada ya Chui(boyfriend) kumchukua msichana mwingine na kumpeleka nyumbani kwake wakati anamahusiano na Cheng(mpiga makofi).


Cheng alijua na akampigisha magoti boyfriend wake huyo mbele za watu wakipita.
Aliposisitiza kuwa hakumuita yule msichana kwake akisema 'sikiliza kwanza kabla hujanipiga',Cheng akaanza kumchapa makofi usoni huku anapiga kelele
'You're slandering me!'

​


Watu wakajaa na kuanza kufilm tukio hilo la aina yake ambapo lilitumwa siku hiyohiyo YouTube.Watu wengine walipoanza kuingilia ugomvi huo wa kimapenzi Cheng akapayuka 'Haiwahusu!'
Watu wengi walioshuhudia walikuwa upande wa Chui,mwanamke mmoja akamwambia 'simama achana na mwanamke huyu mwenye sura mbaya,unastahili mzuri zaidi'
Mpita njia mmoja akawapigia simu polisi ambapo Cheng alikamatwa.
Mwanamke huyo mwenye miaka 20(Cheng)alikamatwa kwa kesi ya udhalilishaji wakati boyfriend wake mwenye miaka 23,Chui akipelekwa hospitali
 
Hiyo ndio haki sawa!!kawaida ya wanaume huwa ni kukaa kimya na huwez jua itakuwa kateseka muda mrefu sana huyo jamaa!!
 
Huyo manzi dizain amecheza movie na Jet Lee na anapiga mkono balaa. Ndo maana jamaa kakauka as mziki anaujua.

Mkuu unaonaje tuipitishe huku kwetu mwanamme akicheat anapelekwa geti la mlimani city au kariakoo anapewa mabao kisha msamaha unatolewa.
 
Unajua ile kitu "tamu" bwana! :bump2:

Sio ajabu sana ukijikuta unapiga magoti ili uendelee kuipata.
 
Jamani hata wanawake zetu huku Bongoland walienda huko beiging nafikiri cheng ndie aliyekuwa facilitater wa hiyo workshop.
 
mkuu unaonaje tuipitishe huku kwetu mwanamme akicheat anapelekwa geti la mlimani city au kariakoo anapewa mabao kisha msamaha unatolewa.

onyo: Don't try this at home or anywhere.
 
Hiyo ndio haki sawa!!kawaida ya wanaume huwa ni kukaa kimya na huwez jua itakuwa kateseka muda mrefu sana huyo jamaa!!

Ila mkuu bongo au Afrika unafikiri hii mbinu itafanya kazi?
 
Jamani hata wanawake zetu huku Bongoland walienda huko beiging nafikiri cheng ndie aliyekuwa facilitater wa hiyo workshop.

Wakwetu walirudi na kupewa upendeleo ktk Uongozi....si ndio tuna viti maalum na kauli kama ladies first, ila samahani dada zangu msinisodoe hapa nanong'oneza.
 
Inawezekana hao walikuwa wanaigiza sinema ya kichina nyie mnadhani kweli.
 
Wapo watu wanatoa mchozi kwa sababu ya hiyo kitu mkuu

Ila machozi si yanakuwa faragha... fikiri uko mlimani city getini tena siku ya w-end yatatoka kweli machozi....Utaishia LIWALO NA LIWE sitolia hapa.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Inawezekana hao walikuwa wanaigiza sinema ya kichina nyie mnadhani kweli.

Sinema hadi kupelekwa hospital na polisi mkuu....Hapa ni haki sawa kwa wote imechukua mkondo.
 
Back
Top Bottom