Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
Akasema wanawake wazuri ni wasumbufu. Bora uwe na wa kawaida tu. Walikuwa wakiambizana wenyewe wakiwa watatu. Yawezekana wamepata.mkasa sehemu. Nao ni wadada tu. Sasa hao wa kawsida ndio wakoje? Kuwa na mwanamke ambaye hatamshawishi mwanaume mwinhine kumtamani kwa mara moja ni suluhu? Sasa kama hamshawishi mwanaume mwingine kihisia mi mumewe atanishawishi vipi? Mwisho wa siku nitaoa huyo wa kawaida halafu nitamtafuta mzuri awe poozeo langu. Na hao wazuri kwa nini wakubali kuwa wasumbufu kisa wazuri?
-----------------------------------------------------------------------------
-----------------------------------------------------------------------------
NB: Hii mada hainihusu. Jadilini kilichopo na sio aliyekileta.