Hi members and guests!
Jukwaa la MMU limejaa vilio vingi sana za -me na za -ke wengi wanalia kuchezewa rafu kwenye love affairs.
In that game of love mara nyingi a man ndio refa(ndio...
Kimachale machale ndio style ya mahusiano siku hizi. Ukijiweka mzima mzima kama kiroba cha mpunga shauri yako, itakula kwako. Last weekend yaliyo nikuta ni majanga. Ningekuwa nimejiweka mzima...
Habari zenu WANA mmu?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwa jinsi gani mvulana au msichana anaweza kumridhisha mwenzi wake??? Kiukweli kabisa kujua kumridhisha mwenzi wako na kutosheka nawe ni...
Kama uzi unavyojieleza wakuu,
Sometimes kuna wanawake wengine bila kutumia mbinu za kiintelejensia kumuingiza room, unaweza ukashinda nae sitting room mnaangalia tu muvi ya Olympus Has Fallen...
Mnajirahisisha sana jaman mpaka kero, mtatuuwa mwaka huu.....
Kazen hata kistyle basi tuone ugumu wa kutongoza aisee, haya maisha siyataki natamani ya zaman kutongoza mwaka mzima...
nimekutana na hii news mtaa wa pili huko huyu bwana amefumaniwa na mke wa mtu.
katika yote nimemshangaa sana huyu mama kujiachia na mtu ambae hata kununua underwear au chupi ni shida!hebu...
Waungwana nashukuru kwa ushauri wenu mlionipa kuhusu mke wangu kichomi.Mara ya mwisho tulipatana kuwa aende nyumbani akapumzike ili tutafute suluhu.Cha ajabu amekaa muda mfupi na amerejea tena na...
Linapokuja swala la wasichana na wadada warembo walioumbika hasa waonekanao kama maua ya rose wanaume wengi wanakuwa ni waoga kupindukia hasa wakihofia kuachwa,MWANAUME WA UKWELI HAOGOPI and only...
Wana MMU nawasalimu!
(hasa Madame B)
(naombeni nitumie uandishi wa ki fb)
Kuna she mmoja rafiki yangu sana ana bf wake anaefanya kazi kwenye taasisi kubwa sana hapa tz. Tatizo linaanzia hapa...
Waliosema Nyama ni ileile tofauti ni mabucha hawakukosea hata kidogo.
*Maana nikiwatazama wadada, unakuta anajitamba ye ana mguu mzuri, ana makalio makubwa, sijui mapaja meupe, dimpozi, mara...
Habari za Leo wana Jamvi, mimi ni mwanaume, nna miaka 26, kwa sasa nafanya kazi Kibaha, ingawa makazi yangu ni Dar. Sijawahi kuwa na historia ndefu ya kimapenzi, maana tangu nipo shule nilimpenda...
Upo na mpenzi wako..bahati nzuri au mbaya mnaishi mbali, labda itokee weekend ndefu kama hii (japo eid inaleta utata wa j4 au J5) ndio mnakutana kwa mambo yenu au 'mambo yetu'. Isipokuwa hivyo...
Cancer is so cruel!
Kintu and his second wife Sophie at their wedding. COURTESY PHOTOS
By Edgar R. Batte (email the author)
Posted Thursday, May 6 2010 at 00:00
Paul Kintu lost a wife...
WanaJF, katika miaka ya hivi karibuni, ktk jamii na familia zetu, kumekua na mashamsham hasa wenzetu wanapofunga ndoa. Miongoni mwa shamrashamra hizo imekua ni kuwafanyia dada zetu 'sherehe ya...
Haya ni mapenzi, uzinzi, uasherati au kitu gani?
Ni mara ya tatu kukutana na huu msala wa watu kubeba picha na video za ngono kwenye flash derives zao. Wa kwanza alikuwa kavulana fulani...