LIP STICK ZINGINE hapana aisee

LIP STICK ZINGINE hapana aisee

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
Msichana anapaka lip stick kama anapaka nyumba rangi,rangi sijui nyekunduu,ya njano,ya bluu,ya kijani,yaani hadi kero,akikukiss anakuachia mirangi yake,dukani nako wanamlalamikia,akijaribisha nguo ili anunue anaziachia lipstick yake,machoni nako kapaka sijui mirangi gani,hadi wengine kama mimi tunaona kinyaa.
Alafu anakatiza mitaa akiamini hapo ndo mwake,akinywa maji kwa glass tayari lipstick
 
Mimi napenda sana mwanamke anayejipamba duh! wakwangu mbona hizo nguo na glass pamoja na kujipaka karibia muda wote ipo sijawahi lipishwa kwenye shopping yeyote eti kachafua nguo! huyo wako sijui umemtoa wapi? Oooh Wife! come here babe mpe mke wa jamaa namna ya kupaka ili asiingie gharama huko shopping maana nahisi kaibuka na mtoto alie kosa kitchen part! Busu la wife akinipiga anasafiri huwa naweka plaster alama isifutike duh! kweli tunadiffer?
 
Sasa tupake lipstick then zisitoke zigande tu midomoni?
Kwa taarifa yako lipstick inokaaga sana kwenye midomo kwa muda mrefu zinakuwa zina lead nyingi ambayo hucoz madhara.
 
Taabu kuna lipstick (nadhani wana jina lao la kitaalamu zaidi) zina rangi kama ALUMMINIUM; wakiikandika utadhani kabusu bati za ALAF kabla hazijakauka:-( Yaani mdomo mzima METALLIC shinny alumminium!)!!!
 
Mh huyo wako unayemzungumzia huwa anapaka lipstic za kichina au niseme feki zile za bei rahisi. Mwambie atafute zile original ambazo hazitoki mdomoni ovyo,akipaka asubuh inakaa mpaka jioni na wala haijikusanyi ovyo mdomoni anapoongea.
 
julius mwambie coz naona mkewe sio mstarabu kabisaaaaaaaaaa

Sema babe wangu kachelewa kuja kumpa somo ili akamwelezee wife wake! unaweza mpa hata wewe kwa niaba ya baby wangu! do it Ney please maana hapa naona jamaa kaanza mchukia mkewe duh!
 
Mh huyo wako unayemzungumzia huwa anapaka lipstic za kichina au niseme feki zile za bei rahisi. Mwambie atafute zile original ambazo hazitoki mdomoni ovyo,akipaka asubuh inakaa mpaka jioni na wala haijikusanyi ovyo mdomoni anapoongea.
Zinaitwaje tena idho original??
 
Back
Top Bottom