Dunian imekwisha jamani

Dunian imekwisha jamani

Dada na kaka kupendana hakuna tatizo...au unamaamisha kupendana kimapenzi!? Kama ni kimapenzi acheni kabisa tabia zenu hizo laana ya Mungu inawanyemelea.

Et 2mejikuta tunapendana mm na dada angu je n sawa wadau
 
Yaani m mwnyw nashndwa kujitambua mana tunapoelekea madhambi yanaweza tokea jamaniii
 
Et 2mejikuta tunapendana mm na dada angu je n sawa wadau
Kuna Mrema mwingine namfahamu in the nineties alikua anatembea na dadake, na mwingine pia pale moshi alikua anakula mtoto wa baba mkubwa kabisa live

labda ni kalaana ka ukoo

shtuka!!
 
Lkn m cdhn kama n ukoo ndg zngn soo niendelee au niache…??????
 
Lkn m cdhn kama n ukoo ndg zngn soo niendelee au niache…??????

we ulivoanza mbona hukuja?
Em acha laana.
Mwache dadaako ammiliki mwingine , nawe tafuta dada wa mmoja mmiliki
 
Kwani mtu na dadaake kupendana si tatizo ila mnapenda kivipi kimapenzi au kwa sababu ni familia moja?hebu weka wazi kupendana kwenu
 
Yann 2napendana kimapenzi wadau na 2napoelekea siko kuzur haaata kidg
 
Lkn m cdhn kama n ukoo ndg zngn soo niendelee au niache…??????

Nina mashaka na akili yako,maana kama umeshindwa kujua jibu "uache au uendelee"mpaka ukaja kuuliza wakati kabisa unajua huyo ni dadako,basi naamini hata kama tukisema uache bado inaweza isisaidie,ushauri wangu kwako kama kweli ni dadako basi na ufanye utakavopenda wewe.
 
Back
Top Bottom