Eid mubarack....

Eid mubarack....

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,922
Nawatakieni eid njema wana MMU wote pamoja na familia zenu...
 

Attachments

  • 1381784969668.jpg
    1381784969668.jpg
    43.2 KB · Views: 127
  • 1381785069856.jpg
    1381785069856.jpg
    34.6 KB · Views: 140
akinitolea nje nitakuja kubonyea kwako.Naomba nikaribishe,mimi ni mlaji mzuri kabisa wa pilau nakuhakikishia ya kwamba sintodondosha hata punje moja ya pilau utakalonipa.
Nalog off
 
akinitolea nje nitakuja kubonyea kwako.Naomba nikaribishe,mimi ni mlaji mzuri kabisa wa pilau nakuhakikishia ya kwamba sintodondosha hata punje moja ya pilau utakalonipa.
Nalog off

Haahahaha usijali ila uje na chupa la maziwa maana pilau yangu ina pilipili hatari waweza samehe lol.
 
Haahahaha usijali ila uje na chupa la maziwa maana pilau yangu ina pilipili hatari waweza samehe lol.
Wala usihofu nitakuja nayo na bila kuisahau ndizi,wewe mwenyewe utaikubali style yangu ya ulaji.
Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom