The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
habari zenu wana mmu!
ni wiki ya pili nasumbuliwa na hichi kitu PHONESEX!
nimewahi kuambiwa na x-gf wangu pindi alipokuwa mbali na mimi ila nilimkatalia kwa hofu kuwa sijui hata pa kuanzia!
ninachotaka kujuzwa hasa kuwa ina faida gani na madhara yake yapi?
na huwa kinafanyikaje!!?