Ananionea aibu kunipa jibu

Ananionea aibu kunipa jibu

Masuonline

Senior Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
194
Reaction score
21
Wana MMU Kwa msichana Ambae umemtongoza na akakuonyeshea dariri zote amekubari rakini ukimwambia akupe jibu ilikusudi upate uhakika anakaa tu kimya na hakatai wala hagomi na anabaki tu anaona aibu kuongea. Jamani wana jf mnanishauri nifanyeje mimi ili kusudi asiniogope
 
Dogo acha uboya!
Kama hajui kukubali au kukataa kwa mdomo, fanya kwa vitendo! Eee! Kama nyoka vile! Unaanza mikononi kwenda kifuani! Akitulia tu ujue uyo anajifkiria!
Achana na hapo!
Anza tena miguuni mwake kuelekea kuleeeeeee! If Akibana bado hajajiamini, rudi tena kifuani! If akifungua chokeka kitu kigumu na sepaaaaaa!
Eee! Out of site...beibe!
 
Muite ghetto, akija fanya kama alivyokwambia Mgegedaji Mzabzab ndo utapata jibu lako
 
Dogo acha uboya!
Kama hajui kukubali au kukataa kwa mdomo, fanya kwa vitendo! Eee! Kama nyoka vile! Unaanza mikononi kwenda kifuani! Akitulia tu ujue uyo anajifkiria!
Achana na hapo!
Anza tena miguuni mwake kuelekea kuleeeeeee! If Akibana bado hajajiamini, rudi tena kifuani! If akifungua chokeka kitu kigumu na sepaaaaaa!
Eee! Out of site...beibe!
Duh we hujatulia kabisa!!!
 
wanawake wangekuwa wanaripoti vitendo vya ubakaji, watu kama Mashaxizo tusingekuwa nao tena uraiani
 
Last edited by a moderator:
Duh we hujatulia kabisa!!!

Hish!
Kweli niko kwa darumini!
...
Tatizo umekrem best! frm now whatever i say, u will translate it in negatiwe way!!!!
Yap! Ukiamini tu flani ni mchawi, ukimuona na pensi tu, utajua anakwenda kuwanga! Kumbe sometimes anakwendaga shamba kulima tu!
...
Ukiisoma kwa makini ile post utagundua kuna "dogo" na "Out of site....beibe"
hayo maneno moja limejitokeza mwanzo na moja limejitokeza mwisho!
Ukiskia kupiga na kupuliza ndio huko! Eee! Hiyo inapunguza maumivu! Na kuleta maswali kwa anaequotiwa!
Just irudie kwa makini, ondoa ushabiki beibe!
Try to understand me!
Hahahahaa!
Love u beibe!
 
Hahahahahahaaa!
Mkuu na wewe nimekupoteza ktk hiyo post! Lol!
Haya soma part ya mwisho ktk post yangu ya juu hapo nilipomquote mm49! Then utaniambia kitu! Lol!

wanawake wangekuwa wanaripoti vitendo vya ubakaji, watu kama Mashaxizo tusingekuwa nao tena uraiani
 
Last edited by a moderator:
Mkiwa pamoja next time mbusu mashavu yote mawili na paji la uso uone reaction yake, wengine huwa inakuwa ngumu kutamka anakupenda kwa maneno.


Wana MMU Kwa msichana Ambae umemtongoza na akakuonyeshea dariri zote amekubari rakini ukimwambia akupe jibu ilikusudi upate uhakika anakaa tu kimya na hakatai wala hagomi na anabaki tu anaona aibu kuongea. Jamani wana jf mnanishauri nifanyeje mimi ili kusudi asiniogope
 
Last edited by a moderator:
nahisi demu anatokea iringa ukiona kimya ujue amekubali piga ngwala kula sukariii !!!!!
 
...anza kulia mpaka na yeye akilia ndo ujue kasema ndio,bilaivo hakupendi...
 
jibu kalipata ila hana uhakika kama ni la kweli sababu umempa swali gumu. (Unampenda au utamchezea) bado ana compare. Hahah
 
Hish!
Kweli niko kwa darumini!
...
Tatizo umekrem best! frm now whatever i say, u will translate it in negatiwe way!!!!
Yap! Ukiamini tu flani ni mchawi, ukimuona na pensi tu, utajua anakwenda kuwanga! Kumbe sometimes anakwendaga shamba kulima tu!
...
Ukiisoma kwa makini ile post utagundua kuna "dogo" na "Out of site....beibe"
hayo maneno moja limejitokeza mwanzo na moja limejitokeza mwisho!
Ukiskia kupiga na kupuliza ndio huko! Eee! Hiyo inapunguza maumivu! Na kuleta maswali kwa anaequotiwa!
Just irudie kwa makini, ondoa ushabiki beibe!
Try to understand me!
Hahahahaa!
Love u beibe!
haaa wewe still hujatulia mtazame!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom