Kama nilivyosema awali (Kuna dada nilimpenda sana, ila nilishindwa kumuoa kwa sababu ya elimu ndogo aliyonayo; kipindi hicho sikujua ndoa ni zaidi ya elimu, ndio nimetambua sasa; nimekubali makosa kwa kuwa nimeshaoa-kwa sasa nilikuwa najitahidi kumsahau lakini nashindwa!!!!!), Leo nimempigia simu nikafurahi pale alipoipokea. Hata nilivyoisikia sauti yake nilisikia amani moyoni mwangu!!!! na kujaribu kumuomba msamaha; lengo langu ni ili basi aendelee kuwa karibu yangu. Lakini KAKATAA KABISA, Nazidi kuumia nifanyeje wa JF????? UKWELI NIMESHAOA KWA NDOA YA KIKRISTO-ILA NINAMPENDA SANA HUYU BINTI AMBAYE SIKUMUOA, NAOMBENI MSAADA TAFADHALI.
Unaweza pia kunitumia e-mail: hamasisha30@yahoo.com
Unaweza pia kunitumia e-mail: hamasisha30@yahoo.com