Mechi ya ugenini yamponza jamaa.. Ushauriii !!!!!!!!!!

Kyooma

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
224
98
Wakuu kuna frend wangu alikua anasumbuliwa na binti mmja wa kimakuwa ki ukweli jamaa alikua hamtaki na wala hana hisia zozote kwa binti na Ukitegemea tayari alikuwa na mupenzi wake na wanataraji funga ndoa mwakani. Baada ya binti kumtongonza jamaa bila mafanikio kwa wiki karibu 3 ndo BINTI akamua kumwambia jama kwamba kama hamtaki basi anaomba japo mechi moja ya ugenini alafu baada ya hapo hatamsumbua tena. Kwa kua jamaa alikua ameshachoshwa na usumbufu na akaona baada ya kumtimizia hicho basi usumbufu utaisha kutoka kwa yule binti.

Sasa baada ya gemu sijui jamaa alilamba sukari gani, jamaa angu amedata na mahaba ya yule mmakuwa anaanza kumpigia simu usiku kucha na binti kakaza anamwabia walikubaliana game moja mbona anakiuka makubakiano jamaa sa vi kawa kama chizi juu ya penzi la mda mfupi la yule binti.. jamaa kila siku nyumbani kwa binti akipga magoti na kumbembeleza wawe wapenzi na hatimaye wafunge pingu za maisha za maisha. Demu analeta poz na hana mda na jamaa..penz la mda mfupi limemsahaulisha yote waliopanga na mpenz wake.

Nmeshindwa kutoa ushauli koz cjaelewa kama ni penzi la nguvu za giza au ni ufundi wa binti ndo umendatisha. pliiiiz ushauri
 
^^
Ha ha binti alimchezea kale ka mchezo ka zege halilali..
Anyway amuoe tu maana tayari kavunja ahadi ya nyuma
^^
 
mpeleke jamaa yako akaombewe kama ni nguvu za giza zitashindwa. vinginevyo labda amempenda kwa dhati na pengine ndio mipango ya mungu kuwakutanisha kwa staili hiyo.
 
Hapana chezea wanawake tuliofundwa, tukafundika.
Tuliooshewa majimbo ya kikwetu kwetu.
 
nimekoma mimi mwenyewe kuna kadent nilitaka nizuge nae tumeahidiana jumamos tucheze gemu! nishaghairi yasije yakanikuta mie!!!
 
mpeleke jamaa yako akaombewe kama ni nguvu za giza zitashindwa. vinginevyo labda amempenda kwa dhati na pengine ndio mipango ya mungu kuwakutanisha kwa staili hiyo.

Mpango wa Mungu aupimwi kwa uasherati.Namshauri kijana afanye toba then aanze kukarabati uhusiano wake na Mungu na mwanadamu.
 
Hahahaaaaa! Hio itakuwa binti alijiosha na mpenda penda! Kwisha kaziiiiiiiiiiii!!!!!!!
 
Km hamtaki aachane nae
Wakuu kuna frend wangu alikua anasumbuliwa na binti mmja wa kimakuwa ki ukweli jamaa alikua hamtaki na wala hana hisia zozote kwa binti na Ukitegemea tayari alikuwa na mupenzi wake na wanataraji funga ndoa mwakani. Baada ya binti kumtongonza jamaa bila mafanikio kwa wiki karibu 3 ndo BINTI akamua kumwambia jama kwamba kama hamtaki basi anaomba japo mechi moja ya ugenini alafu baada ya hapo hatamsumbua tena. Kwa kua jamaa alikua ameshachoshwa na usumbufu na akaona baada ya kumtimizia hicho basi usumbufu utaisha kutoka kwa yule binti.

Sasa baada ya gemu sijui jamaa alilamba sukari gani, jamaa angu amedata na mahaba ya yule mmakuwa anaanza kumpigia simu usiku kucha na binti kakaza anamwabia walikubaliana game moja mbona anakiuka makubakiano jamaa sa vi kawa kama chizi juu ya penzi la mda mfupi la yule binti.. jamaa kila siku nyumbani kwa binti akipga magoti na kumbembeleza wawe wapenzi na hatimaye wafunge pingu za maisha za maisha. Demu analeta poz na hana mda na jamaa..penz la mda mfupi limemsahaulisha yote waliopanga na mpenz wake.

Nmeshindwa kutoa ushauli koz cjaelewa kama ni penzi la nguvu za giza au ni ufundi wa binti ndo umendatisha. pliiiiz ushauri
 
mpeleke jamaa yako akaombewe kama ni nguvu za giza zitashindwa. vinginevyo labda amempenda kwa dhati na pengine ndio mipango ya mungu kuwakutanisha kwa staili hiyo.
DEMBA< Hata siku Moja Mungu Hawezi kuwakutanisha watu ktk UZINZI, Sahau kabisa habari ya MUNGU hapo, ni Ushetani Tuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
jamaa aache ujinga maana hapo hamna penzi wala nini zaid baada ua mda tu atajutia mambo anayofanya
 
huyo akaombewe..mdada kamkomesha sijuwi ndo wanasema amempa majini mahaba... Teh.. Hiyo inaitwa ukome kuonja!!! Its not fair at all
 
Back
Top Bottom