Hamu ya tendo kupita kiasi.

Hamu ya tendo kupita kiasi.

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
WanaJf
majanga yamenikuta nina wiki ya 2 sasa, yaani ninahamu isiyoisha ya tendo la ndoa. Hadi nahisi aibu maana muda wote nanilii yangu imesimama tu na hata nikimkamataje mwanamke hamu haiishi hata tukikaa masaa 5 none stop hakuna tu kesi sana hii.
Nini kimejitokea jaman, maana kwa nguvu hii naweza kula mzigo hata mara 4 kwa siku, asubuhi, mchana, jioni na usiku na nikipigo hasa.
Chakushangaza sasa ni kwa wanawake tu wanadhifu na wazuri na warembo ndo naweza piga mpira bila kuchoka, ila kama ni mchafu au yupoyupo tu mashine inagomea kazi da! hadi sielewi nisaidieni ushauri. Usiniambie pepo la ngono nilishafanya checkk up halipo.
 
Huo ni mwendelezo wa majaribu uliyonayo
 
Last edited by a moderator:
topic zako hazina mtililiko unaoeleweka maana kila iitwapo leo unakuja na story inayopingana na ile ya jana nina mashaka sana na uwezo wako wa kumbukumbu rudia mabandiko yako yote ujisahihishe
 
WanaJf
majanga yamenikuta nina wiki ya 2 sasa, yaani ninahamu isiyoisha ya tendo la ndoa. Hadi nahisi aibu maana muda wote nanilii yangu imesimama tu na hata nikimkamataje mwanamke hamu haiishi hata tukikaa masaa 5 none stop hakuna tu kesi sana hii.
Nini kimejitokea jaman, maana kwa nguvu hii naweza kula mzigo hata mara 4 kwa siku, asubuhi, mchana, jioni na usiku na nikipigo hasa.
Chakushangaza sasa ni kwa wanawake tu wanadhifu na wazuri na warembo ndo naweza piga mpira bila kuchoka, ila kama ni mchafu au yupoyupo tu mashine inagomea kazi da! hadi sielewi nisaidieni ushauri. Usiniambie pepo la ngono nilishafanya checkk up halipo.

Mzinzi tu... Ushauri wangu kwako, km waweza kufunga, ufunge ktk kipindi hiki cha matatizo.
 
Kwa hiyo avetari uliyojiwekea nadhani at least thread yako hii ya leo ni ya kweli!....Unaonekana 'babu-Kiwembe ' sana weye!
 
Back
Top Bottom