Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Mpenzi uliyekuwa naye jana ana determination kubwa sana kwa Siku yako inayofuata
Tumeshawahi kuona Siku zetu zikianza na misiba, ajali, kutapeliwa nk nk.ikitokea hivyo watu husema angalia uliyekuwa naye jana,
Hebu angalia Siku yako itaendaje halafu ulinganishe na mpenzi uliyekuwa naye jana kama ana nuksi au ngekewa