Dada zangu,heshima yenu inashuka

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.
 
Kaazi kweli kweli!
Kama hutaki/weza kumnunulia kinywaji akikujia na kiuono chake hama ulipokua...akikufuata mwambie asante ila hapana.We unategemea nini kumtoa majasho dada wa watu alafu usimtulize koo??!
 
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.

Wewe naona utakuja kuoa mwanamke uliyempata disko
Kwani malaya ana muda wa kukusoma ulivyo
Hapo ujue ndo umeambiwa "Ninunulie Taska nikupe access ya bao 2 za vodafasta"
 
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.

Acha roho mbaya!
Kwani ukimnunulia beer moja/mbili wakati umesha-swagger naye kuna ubaya?
 
:heh:pole mwaya,wakati unamkatisha mauno mwenyewe ulifurahi umeombwa bia umekuja kumbandika humu.Huoni na wewe heshima yako imeshuka kwa kushikashika viuno vya wanawake usiowajua.
 
Shida ni attitute za some of the African women, that men have to provide for them!! ! This is very boring, you know what, even some of us, who do not depend on men to provide to us, are treated equally!

Women, let us liberate ourselves from these chains and poverty circles (of mind). we can do it, we can pay for our own bills, we can buy our own drinks and the like...
 
Naona michango mingi hapo juu inadhihirisha kuwa kwa mtindo huu dada zangu, heshima yenu inashuka
 
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.
kwanza embu fikiria, eti anakufata huku anakata kiuno, unaona kabisa type hiyo humu JF? kweli kabisa? nafikiri umelalamikia mahala ambapo apahusiki
 
Code:
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.

Hivi wewew unayecheza nao huoni ya kuwa ndiye unajidhalilisha kwa kutafuta kampani yao? Birds of a feather flock together...........
 
hii tabia imeshamili sana kwenye club za dar es salaam.unakuta mtu umeenda disco single uko tungi.dj anawachangamsheni kwa nyimbo,kidogo ule wimbo wa Rupee wa tempted to touch unapigwa,kuangalia kushoto unamuona mrembo anakufuata akikatika mauno.unacheza nae.kidogo dj anaweka wimbo wa this why i'm hot wa mims unasikia anakwambia eti nmechoka nina kiu ninunulie pombe.hapo ndo mimi nashangaa mtu hamjawahi hata kuonana umecheza nae wimbo mmoja tu.muulize sasa anakunywa kinywaji gani mh!.ndo maana nawapotezea.

Kaka..........jifunze kusema NO!
Ulishaona ni type "fulani",ukafuatwa,ukakubali,sasa unalalamika nini?????????????
 
Back
Top Bottom