warembo (masista du) wana matatizo gani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

warembo (masista du) wana matatizo gani??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by figganigga, Dec 22, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Habari zenyu? Ukiwaona barabarani wanaonekana wana mvuto wa mapenzi, lakini mbona kwenye 6 kwa 6 ni matatizo? hawajitingishi kabisa. halafu wanakuwaga na mambo mengi, simu kila dakika, message halafu ni watu wa matatizo kila siku wao ni kuomba hela. hata kama ameuchuna siku atakapo kupiga kibomu utashangaa. yaani wanaomba hela utafikili wavulana wanatengeneza hela. ndo maana mvulana akishaona mtu wa hela anagonga na kukimbia kama nyoka. na hii inasababisha wengi kubadilisha mabwana na kuto olewa. Mia
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mie sioni wewe tatizo lako nini? wewe unatoa pesa wao wanakupa k...gud business!!!
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hihihiiiiiiiiiiii......:lol::lol::lol:.....Halafu kashasema masista duuu...wat do u expect??!! Hizo ndio features za sistaduu...Kama umempenda kwa dhati huyo mdada na ana mapungufu fulan si una mweleza jamaani...ili ajue wewe unapenda nini??!!..ukilalama JF na kuwaponda humu haitasaidia wewe kupata msichana mwenye mambo unayoyapenda..
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa..
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ndo gharama zao hao we unafikiri iphone/blackberry/Lui V/Gucci,ila chamsingi akitaka hela unampa na wewe unakula Kitumbua,mkono kwa mkono
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yan hata kabla sijamaliza kuisoma nikakugongea "LIKE" then nikamalizia kusoma.
  Ukweli Mtupu na yamenitokea, ila mi huwa nakula kona nikiona mizinga mapema coz hapo hakuna mapenzi.
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  dawa ni kula kona. hawafai kuoa.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mnajila kona tu wenyewe
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Kwanza elewa urembo si usista du, na usista du si urembo.
   
 10. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  tatizo lao wanajiona ni wazuri kwa hiyo wanachezewa nyapu zao then wanamwaga wapumbavu tu. Nitarudi baadae ila nasikia kausingizi hivi!!
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ukimwi unaua, jitaid uwe na mmoja, kama hawez mfunde, hata kwenye magar huanza na Learner then unakuwa fund mzuri, ni mtazamo tu.
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa ww ni MVULANA ni haki yao kukufanyia hivyo.
   
 13. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama unahitaji ngono si ukanunue tu kwa wanaouza,unalipa biashara imeisha mi sijui kwa nini unajiingiza kwenye mahusiano huku ukijua shida ni ngono.
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Unaweza kuniambia ni wapi iliandikwa kuwa masista du au warembo ndo wataalam wa 6/6???. Ila kumbuka tu kwamba kuna masista du na warembo wengi tu ambao ni mamiss independent na hawana shida na vichenji vyenu!! Mi nadhani ungeanza kwanza kuwashauri masharobob na mabrazamen wa jinsia yako walokalia kuuza sura, mapozi plus kulamba lips huku wakiwa ni empty set kuanzia chini hadi upstairs!!! Jisachini......na sio kutuletea visirani vyenu baada ya kumwagana na wapenzi wenu! Wakati mnakula raha hamsemi chochote ila baada ya kumwagana ndo mnakuja kubwabwaja hapa, mbona pindi mkiwa nao hamuwaambii??? Mwisho wa siku msituchoshe tusiwachoshe, visa vyenu pelekeni kwenye magazeti ya udaku!!
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  \utamu wa pipi ni mate yako/
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kakondoo nidai zawadi ya Xmass!
  Alafu mafuriko yamekukosa naona, mama mchungaji amefurahi.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sifa za usista duu ni zipi?

  Na mifano ya masista duu ni kina nani?
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanakula ugali kwa uma. . . .
  Bia kwa mrija!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Silly you.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umewajua lakini. . . . ?
   
Loading...