gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Huku nikujitetea au kujichomesha?
Mama mwenye nyumba anamlalamikia housegirl wake kwamba haoni underwear zake tatu.
Sikia utetezi wa housegirl sasa:
"
SIJACHUKUA HAKI YA MUNGU SIJACHUKUA MUULIZE HATA BABA KAMA MIMI NAVAAGA CHUPI KWELI KABSA MAMA SIJACHUKUA."
Haaaa huku ni kujitetea kujiwashia makaa ya mawe!!
Don't try t at home