Habarini,
Tulianza kama utani tukiwa tuition. Alipenda kukaa karibu yangu hata nikiwa kiti cha nyuma. Mara kadhaa alinitaka nimpapase huku akiufunika mkono wangu na hijabu wakati ukifanya mautundu...
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata...
Nilikuja kuelezwa hili na dada mmoja ambae nieafiki yangu kama na mimi nalijua hili
Ni kwamba huyu dada mume wake amemuambia kuwa kuanzia jana hawatakuwa wanakutana kimwili bila ya kuwa na ratiba...
Acha niseme kweli,
Wanawake wengi wakivaa nguo wanaonekana nadhifu sana kila idara, yaani ukimuangalia nyuma alivyojaza unatamani angekuwa wakuliwa kama nyama. Matiti yalivyonyanyuka, tumbo...
Wakati tunaanzana nilifikiri una mapenzi ya kweli, kumbe unapima kama utapata chochote kitu kutoka kwangu. Nikakushtukia wala sikujiachia kihivyooo kwa kuwa nilijua unataka nini kutoka kwangu...
nilikua na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana, lakini ilitokea kama bahati mbaya mawasiliano yakakatika gafla kama miezi 3, kila nilipojaribu kufanya mawasiliano nae alikataa kabisa kupokea...
Nimegombana na mke wangu siku ya 5 sasa na tukiwa tunaishi nchi mbalimbali,kisa aliniambia story ambayo kuna jamaa yangu fulani alinisema vibaya na basi na mm nikachukia na kumpigia simu huyo...
Wanawake/akina dada, najua ukweli unauma lakini mkubali tuu kuwa wengi wenu hamtaolewa kwa sababu mmepoteza dira ya maisha yenu. Kufuatia malalamiko ya akina kaka wengi nimeamua kufanya simple...
Habari zenu wana JF,nina swali dogo linanitatiza,ebu imagine we ni mwanaume na unarafiki wa kike(namaanisha urafiki wa kawaida kabisa) akakupa zawadi ya box la condom au viceversa mwanamke apewe...
wa ndugu mimi ni kijana naishi hapa mwanza nimemaliza chuo mwaka huu na nimebahatika kupata kijikazi japo hakilipi kihivyo.nilipokuwa chuo nilibahatika kuwa na mahusiano na dada mmoja for almost 2...
Salaam,aleykum,tumsifu Yesu Kristo wana jf,
Samahani kwa kukopotezeeni muda,ila nilikuwa naomba nijue hatima ya kufanya mahusiano yakimapenzi na mwanamke aliyekwisha zaa kabla ya kuolewa.
By the...
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni...
Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa... Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata...
Kwanza kabisa natoa angalizo kuwa mada hii haina malengo yoyote ya kukasfu wala kuchafua mtu yeyote..
Leo nikiwa nasafiri pembeni yangu walikaa wadada wawili waliojiweka kisasa na vimini vinavyo...
Habar za wakat huu wanajukwaa? Mimi kuna jambo linatiza kdogo.. Ilikua mwez wa 7 mwaka huu ambapo nilikua nafanya mafunzo yang kwa vtendo maeneo flan huko irnga! Ila pale kulikua na madam mmoja...
Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala
kulikuwa na viti viwili...
Katika mahusiano hasa ya gf na bf! kuna mambo mabaya huwapata watu mengine ya aibu mengine ya kutisha ila ndio tena hivyo siri hubaki kwa wahusika! Na mahusiano huwa ni kucheza bahati nasibu...
Habarini marafiki,
Hata nashindwa nianzie wapi jinsi hili jukwaa lililovyoharibiwa na kuvurugwa, kisha kupondwapondwa kwa watu wachache wenye kutaka kujitafutia umaarufu wa kijiefu humu...
storiiii............................................
Moyo wangu bado uko kwako..hope in next life i will dare to tell you I loved you but was too shy to openup
Venue
Chuo kikuu cha Dar es salaam...