STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Nikimuona mdada anayeuza heshima yake na thamani kwa kuamini akitoa nyuchi yake ndio atamvutia mmanaume kuwa comitted na kumpenda kwa dhati ninashangaa nakufananisha na muuza karanga anayekuja bar anakuta watu wanakunywa bila halafu bila kujali kama watanunua karanga zake au Lah, anachukua kijiko anachota karanga kwenye kapu anakupa huku anakwambia'Blaza, za kuonja hizo'.
Asilimia 99 huwa wanakula za kuonja na hawanunui vilevile kabla hujakibinua hicho kichupi chako with expectation of getting the Love back jiulize je ana hamu ya kula karanga zako? Maana utaishia kuonjwa na hutanunuliwa vilevile na hili ni kosa mnaliingia deile na hamkomi, labda mpaka tuongee kichina ndo mtaelewa, hatutaki karanga zenu zitunzeni kwenye kapu hadi apatikane mteja.
1.Nyuchi haina superglue kwamba ukimpa ananasa hapohapo hatoki tena.
2.Hakuna uhusiano wowote kati ya nyuchi yako na moyo wake, kabla hujahangaika kuweka nyuchi kama moja ya kanuni za mkataba, waza jinsi ya kuugusa moyo wake na sio zipu yake.
BE A DIFFERENT WOMAN IF YOU WANT A DIFFERENT HUSBAND BE UNIQUE!