God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
Kwenye kutongoza mdada umewahi kukutana na changamoto gani kutoka kwake?
Ulitumia njia gani kumzima pale ulipoona anakuja juu na maringo kibao?
Ni neno gani ulilomwambia mwanamke hadi akashindwa kufanya lolote akabaki anachekacheka tuu na mwishowe ukampata?
Mimi ni aibu yani nakuwa mzito sana hadi wanawake huwa wananishangaa.
plz nifanyeje niachane na hili tatizo embu nishaurini jaman, halafu napenda kucheka sana.