Kwanini Mwanamke siku ambayo anamsaliti Mpenzi wake huwa mchangamfu na huongeza upendo Kwake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama kawaida yake na pia hujifanya anakupenda kuliko maelezo?

Nitashukuru nikijibiwa.

Nawasilisha.
 
Sio kwamba anakuchekea kukufurahia . Ni kwamba anafurahi anaenda kupata kitu swaaafiii roho inapenda!
 
Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama kawaida yake na pia hujifanya anakupenda kuliko maelezo?

Nitashukuru nikijibiwa.

Nawasilisha.
Kijana umepotea kabisa! Hata kwenye vijiwe vyetu hatuonani tena! Kulikoni mkuu wa itifaki??
 
Ndo Mana sasa hv tumeamua kuwa Players
Mambo kujidai kumpenda mtu kihivoo Hell Noo

Mkuu kumbe Wewe mwenzangu hadi leo bado unapenda tu? Mwenzako niliacha rasmi kupenda mwaka 2010 na hata sasa hivi sipendi Mwanamke aniambie kuwa ananipenda kwani nina uhakika kuwa leo hii Wanawake ambao wakisema wanakupenda Kiukweli kutoka Moyoni basi katika Wanawake Milioni moja utawabahatisha wawili au wanne tu. Kuna kamoja juzi kati kaliniambia Kananipenda nilikapa bonge la Bao kisha nikamwambia kuwa akiwa na Mimi GENTAMYCINE sitaki aniambie ananipenda bali aseme tu anapenda tubanduane au tukabanduane na nashukuru kuwa sasa hivi kanafuata amri na sheria zangu.

Ukiona Mwanamke anakuambia kuwa anakupenda Mkuu basi kwa 100% jua anakutukana na anakusanifu tu. Amka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom