Kaniacha ghafla, nimechoka na mahusiano nimeamua kuwa single

Sombeti

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
795
175
Habari wandugu,

Leo ni siku iko tofauti si kidogo, imetokea nikiwa sitarajii rafiki wa mpenzi wangu kaniletea bahasha najuwa ni zawadi kumbe ni line za simu na kaujumbe kakuachwa kenye maneno mafupi just simply.

NIMECHOKA NA MAHUSIANO NIMEAMUA KUWA SINGLE

Madada wa Arusha mbona changamoto hivi? Week days unamfrastrate mwenzio kiasi hiki yaani nahisi kila hali. Sasa kwa notice ya haraka hivi real nashindwa hata nitamjibu nini, na kwa njia gani line zake kanipa zote amepania mpaka basi.

Hebu nichachueni akilu maana kama siamini vile. Kupenda sana mwisho wake mbaya asee. Nahisi pia bora angenipa habari hizi weekend week days naona kama adhabu flani sasa nitajibanza wapi nilie wakati kazi ni nyingi.

Mpaka jasho lanitoka wadada wa Arusha ni sumu.

HIVI HALI KAMA HII NAPAMBANAJE NAYO NSIDHURIKE
 
Pengine kuna kitu Mungu anakuepusha vumilia tu kuna mazuri mbele yako.
 
We uchune tu...wala usimtafute atarudi mwenyewe nawewe komaa usikubali. Wakati huu mtafute rafiki yako unayeiva naye piga naye stori kama lunch nenda naye...pangeni mikakati muende hata Magugu au Babati kutembea wikiend.
 
Kwanza pole sana Kijana wangu, hata mimi shemeji yako aliwahi kunitoa machozi ila hajui na sitaki na wewe ujue zaidi
Pili, jipe moyo mkuu, ukiachana na mtu hutakiwi kujenga uadui, mfanye awe rafiki yako at least utapona haraka, tatu, usifikirie sana kuhusu ubaya, waza pia kuhusu uzuri. Utapata mwinine mzuri zaidi yake au lah atarejea kwako muda ukifika.

Experience yangu inaonyesha kuwa mtu akikuacha kwa nyodo huwa mara nyingi at the end of the day wanarudi kwa machozi kabisa, jipe moyo mkuu fanya kazi za watu...
 
Habari Wandugu

Leo ni siku iko tofauti si kidogo, Imetokea nikiwa sitarajii rafiki wa mpenz wangu kaniletea bahasha najuwa ni zawadi kumbe ni line za sim na kaujumbe kakuachwa kenye maneno mafupi just simply

NIMECHOKA NA MAHUSIANO NIMEAMUA KUWA SINGLE

Madada wa Arusha mbona changamoto hivi ?? Week days unamfrastrate mwenzio kiasi hiki yaan nahis kila hali
Sasa kwa notice ya haraka ivi real nashindwa hata nitamjib nini, na kwa njia gani line zake kanipa zote amepania mpaka bas
Hebu nichachuen akil maana kama siamin vile

Kupenda sana mwisho wake mbaya asee. Nahis pia bora angenipa habari hiz weekend week days naona kama adhabu flan sasa ntajibanza wapi nlie wakat kaz ni nyingi

Mpaka jasho lanitoka wadada wa Arusha ni sumu

HIVI HALI KAMA HII NAPAMBANAJE NAYO NSIDHURIKE
Shida yako nini? yaani kuachwa na demu unalia? kuwa mwaaume wewe! akikuacha asubuhi wewe jioni pita kwao na kimwana safi, tena mwambie kimwana apige umini wa kufa mtu. Siku hizi watu hawalilii mapenzi dogo wanalilia pesa.
 
Habari Wandugu

Leo ni siku iko tofauti si kidogo, Imetokea nikiwa sitarajii rafiki wa mpenz wangu kaniletea bahasha najuwa ni zawadi kumbe ni line za sim na kaujumbe kakuachwa kenye maneno mafupi just simply

NIMECHOKA NA MAHUSIANO NIMEAMUA KUWA SINGLE

Madada wa Arusha mbona changamoto hivi ?? Week days unamfrastrate mwenzio kiasi hiki yaan nahis kila hali
Sasa kwa notice ya haraka ivi real nashindwa hata nitamjib nini, na kwa njia gani line zake kanipa zote amepania mpaka bas
Hebu nichachuen akil maana kama siamin vile

Kupenda sana mwisho wake mbaya asee. Nahis pia bora angenipa habari hiz weekend week days naona kama adhabu flan sasa ntajibanza wapi nlie wakat kaz ni nyingi

Mpaka jasho lanitoka wadada wa Arusha ni sumu

HIVI HALI KAMA HII NAPAMBANAJE NAYO NSIDHURIKE
Bado unaye hapo karibu mkuu? Jibu fasta nikupe mbinu.
 
Ahsante kaka, Lkn POLE SANA,
USHAURI: Usijaribu tena kumpenda mwanamke kiasi hicho ni Wapumbavu sana. Ila kwa sasa tulia kwanza usichukue maamuzi yoyote mpaka akili irudi vzr.
Mimi siwaamini kabisa watu wawili
a) mwanaCCM
b) Mwanamke
 
Habari Ndugu!

Pole kwa yaliyokukuta, ki ukweli inaumiza sana sana, ila nipendacho kukushauri ni kuwa mjibu simple kuwa 'HAYA KILA LA KHERI" then endelea na maisha yako, pia kuonyesha ukakamavu kila ulichokuwa nacho kuanzia labda line za simu namba za simu, picha zake au hata baadhi ya documents zake, tafuta namna ya kuziweka mbali sana na wewe, yaani usizione kabisa, kisha ENDELEA KUSALI, KUFANYA MAZOEZI YA VIUNGO, KAMA NI MPENZI WA MOVIES AU GAMES, hakikisha unaangalia au kucheza ukiwa na watu wawili,, pointi yangu kubwa baada ya tukio hilo , USITHUBUTU KUKAA PEKE YAKO KWANI UTAFIKA WAKATI UTAMWAZA TU HUYO MTU....JITAHIDI KUKAA NA MARAFIKI HUKU UKIMWOMBA MUNGU AKUPE MKE MZURI...

Usijipe pressure, wengine tulipitia huko na mpaka sasa maisha mazuri kuliko wakati huo, na huyo alofanya hivyo kwangu yupo huko keshazalishwa watoto watatu wawili baba mmoja mmoja baba mwingine, na huyo aliyenaye nimepata taarifa juzi ni mlevi balaaa.....si usijipe shida rafiki yangu,,,MUNGU WETU MWAMINIFU SANA,,,,,,,,

@Sombeti
@Sombeti
@Sombeti
@Sombeti
 
Ahsante kaka, Lkn POLE SANA,
USHAURI: Usijaribu tena kumpenda mwanamke kiasi hicho ni Wapumbavu sana. Ila kwa sasa tulia kwanza usichukue maamuzi yoyote mpaka akili irudi vzr.
Mimi siwaamini kabisa watu wawili
a) mwanaCCM
b) Mwanamke
Acha kuharibu Uzi wa watu wewe Zichi.
 
Back
Top Bottom