DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

diet

Member
Aug 1, 2012
56
8
A.salaam wanajf..
Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana wengine. Ila nilishindwa kumuacha pamoja na usaliti wake sababu nilimpenda sana.
ila katika kumchunguza nikagundua alikuwa beba beba bado hajapata mpnz ya dhati... hakuwahi kupata mpnz wa kumtuliza ndio maana hata alivyonikuta mm alifikir nitakuwa km wasichana wengine... anitoomb alafu aondoke
Kwangu nikambana tofauti... nikampenda sana na kumjal sana... yaan nilimwonyesha mapenzi ya dhati zaid ya mume na mke... na hv alinikuta nimetoka pande flani basi sikumpa nafac anione km wasichana wengine ambao ametoka nao...nilijiweka tofauti... nikamwonyesha namjali...namheshimu kwa dhati ya moyo wangu..
kwa sasa keshanitambulisha kwako...na kwetu anajulikana...haruc mwakani...
hivyo nimeona niwape hiyo ili mjifunze kuwa dawa ya msaliti ni kumpenda zaidi. Na si kumuacha... utaacha wangapi?
Ni hayo tu.
 
Mh! hongera zako kwa hiyo anaendelea kukusaliti huku unasubiri ndoa? kumbuka pia kuna magonjwa hatari nayo pia unayasubiri kwa huyo unayempa dawa ya usaliti.

Ila kama amebadilika na mpo safi kiafya hapo sawa
 
Tuko safi na kabadilika kbs kbs... mpka mwenyewe nashangaa nikilinganisha na mwanzo... yaani kawa mwingine na ibada kila jpili tunaenda wote...na ukumbuke alikuwa hakanyagi kbs church
 
A.salaam wanajf..
Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana wengine. Ila nilishindwa kumuacha pamoja na usaliti wake sababu nilimpenda sana.
ila katika kumchunguza nikagundua alikuwa beba beba bado hajapata mpnz ya dhati... hakuwahi kupata mpnz wa kumtuliza ndio maana hata alivyonikuta mm alifikir nitakuwa km wasichana wengine... anitoomb alafu aondoke
Kwangu nikambana tofauti... nikampenda sana na kumjal sana... yaan nilimwonyesha mapenzi ya dhati zaid ya mume na mke... na hv alinikuta nimetoka pande flani basi sikumpa nafac anione km wasichana wengine ambao ametoka nao...nilijiweka tofauti... nikamwonyesha namjali...namheshimu kwa dhati ya moyo wangu..
kwa sasa keshanitambulisha kwako...na kwetu anajulikana...haruc mwakani...
hivyo nimeona niwape hiyo ili mjifunze kuwa dawa ya msaliti ni kumpenda zaidi. Na si kumuacha... utaacha wangapi?
Ni hayo tu.

While that is a positive way of dealing with a relationship, u got past the fact that u deserve that too( respect, care, fidelity and loyalty).
Na kwa upande wa pili suala la yeye kutokuwa muaminifu halikuhusu wewe tu. Linawahusu watoto wenu mtakaowapata kwa sababu;
a) Ndo watakaokosa ada ya shule wakati baba yao akihonga.
b) Ndo watakaokuwa wakishuhudia wazazi wao wakigombana as they grow up.
c) Ndo watakaoishi kwa shida wazazi wao wakitengana

Linawahusu wazazo wenu, ndugu zenu , marafiki na majirani(coz ndo watakaokuwa wanavumilia kelele zenu na tabia za mumeo huyo).

While having feelings for someone is beautiful marriage is pure planning, choosing and arrangement. Mapenzi ni yenu lakini ndoa inawaathiri wengi.
Then fikiria he is cheating on u at the peak of the relationship where u r supposed to love each other so much, imagine kwenye ndoa wakati upendo umepoa!

U being positive is great but he must give the same too....Huu ni mwanzo utakuwa positive mpaka utachoka, we jifanye unajua kunyoosha vicheche
 
Ooh...what can I say!! ni hivi hakuna formula moja ya kutunza uhusiano kati ya wapenzi. Njia hii inaweza work kwa mtu fulani na ikawa mbovu kabisa kwa mtu mwingine. Kama unaamini umemuweza HONGERA zako lakini kawaida, walio jirani nawe ndo wanamjua mpenzi/mchumba/mume wako kuliko wewe umjuavyo.
 
hongera ila kumbuka jasiri haachi asili, na tabia ni kama ngozi. Hayo sio maneno yangu nimewanukuu wahenga...
 
mtu malaya haachi hata siku moja.......... usirudi tu kulia kwamba ameanza kutoka na wanawake wengine

A.salaam wanajf..
Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana wengine. Ila nilishindwa kumuacha pamoja na usaliti wake sababu nilimpenda sana.
ila katika kumchunguza nikagundua alikuwa beba beba bado hajapata mpnz ya dhati... hakuwahi kupata mpnz wa kumtuliza ndio maana hata alivyonikuta mm alifikir nitakuwa km wasichana wengine... anitoomb alafu aondoke
Kwangu nikambana tofauti... nikampenda sana na kumjal sana... yaan nilimwonyesha mapenzi ya dhati zaid ya mume na mke... na hv alinikuta nimetoka pande flani basi sikumpa nafac anione km wasichana wengine ambao ametoka nao...nilijiweka tofauti... nikamwonyesha namjali...namheshimu kwa dhati ya moyo wangu..
kwa sasa keshanitambulisha kwako...na kwetu anajulikana...haruc mwakani...
hivyo nimeona niwape hiyo ili mjifunze kuwa dawa ya msaliti ni kumpenda zaidi. Na si kumuacha... utaacha wangapi?
Ni hayo tu.
 
Sasa mnafikir mtaachana na wangapi na hivi vijana wa cku hizi hawatulia kbs. Ni bora kumbadilisha huyo huyo uliyenaye kuliko kuhangaika...kumtafuta aliyetulia sababu aliyetulia nae mnaweza kufika ndan ya ndoa majanga ya usalit yakaanZa...kinachomatter mi nafikir km unampenda na unajua ana tabia chafu...ni vyema ukambafilisha huyo huyo...waweza kumuacha akahangaika ukapata bomu zaidi...hiyo ni kwa mtazamo wangu ...
 
Endelea kujipa moyo tu,kama wewe umevutiwa na uhandsome wake basi wapo wengine watavutiwa hivyo hivyo,usimkabidhi fisi bucha diet.
 
Last edited by a moderator:
Tuko safi na kabadilika kbs kbs... mpka mwenyewe nashangaa nikilinganisha na mwanzo... yaani kawa mwingine na ibada kila jpili tunaenda wote...na ukumbuke alikuwa hakanyagi kbs church

Hongera sana kama kabadilika wa moyo wako. Lakini angalia isije kuwa wewe ndiyo umeacha udukuzi kwa hiyo mambo yake yanakwenda pasipo kugundulika! Kila la kheri na maisha marefu ya ndoa. Lakini usisahau kuwa jasiri haachi asili!
 
Back
Top Bottom