Men never listen

Men never listen

PesaNdogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
1,992
Reaction score
1,294
Nimejifunza hili kutoka kwa wanaume kadhaa kwamba huwa hawataki kusikia wanapoambiwa kitu iwe na wazazi wao au wake zao mpaka wanapopata matatizo makubwa. Sijui kwanini, vitu vingine vinaeleweka madhara yake Mfano umalaya inaeleweka unampeleka mtu wapi, uongo na kadhalika lakini hawaachi. Shida iko wapi au ndo uraibu/addiction ya tabia?
 
Mwanaume aweza kuwa malaya?
ndio, nikimaanisha ana mtandao mkubwa wa ngono. Waafrika ndo mnajifanya umalaya ni sifa ya asili mwanaume so hamstuki ndo maana yatima ni wengi na ukimwi hauishi.
 
^^
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusikia na kusikiliza.
Kama wanaume hawasikii ni kawaida kwani hata wanawake pia hawasikii.
Linapokuja suala la kusikiliza,iwe mwanaume au mwanamke.. Usikivu ni tabia inayojengwa na mazoea ya mtu husika.
^^
 
Inategemea na attitude ya huyo mwanaume,mtu anayemwambia na pia mazingira..kwa ujumla hivi vyote vinaweza vikaleta usikivu au kupoteza usikivu kwa both men&womens
 
Inategemea na attitude ya huyo mwanaume,mtu anayemwambia na pia mazingira..kwa ujumla hivi vyote vinaweza vikaleta usikivu au kupoteza usikivu kwa both men&womens
Mfano ukiwa na wapenzi wengi halafu unajua matokeo ya tabia hiyo na mtu mwingine anakuonya kuhusu hiyo tabia lkn mtu huachi ni mazingira ya kuambiwa yalaimiwe hapo?
 
Back
Top Bottom