Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kufanya kazi sehemu moja au kuzungumza na mwanamke mwenye mvuto kunaweza kumfanya mwanaume apoteze umakini wake, hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Jarida la New Study. Wanaume...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF, kwa utafiti kidogo niliofanya, nimegundua kwamba asilimia kubwa ya wanaume hawawaridhishi mademu wao. Mwanaume akishaingia uwanjani lile jote humfanya akapiga bao mapema. Mwanamke...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
kwasababu wanaume wengi hawapendi kuwa chini cku ikitokea wametoka then ghafla mkajickia kusex then biti akamwabia mpz wake twende mm nitalipa mwanaume atamwambia hapana ckunyingine,kwann ipo ivyo...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Asalaam aleykum,Bwana Yesu asifiwe,na kwa wapagani Mambo.? ITIFAKI IMEZINGATIWA. Yeah,well,yes,yes,mmmhh,yeah!yes,samahani kwa kukupotezeeni time kusoma uzi wangu huu abadani.Mpenzi wangu...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Hili ndo jicho langu kwa mwanamke. Wana JF akina mama, ni mama zetu,ni shangazi zetu, ni bibi zetu, ni dada zetu, binfsi nawapenda nakuwaheshim, Nawaona kwa jicho la kupenda sana nafuu, mfano...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nipo Geita,natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuish maisha ya ndoa! Sifa zangu nitamwelezea endapo atakuwa tayari na kunitafuta kwa nambari 0759947397.Ingependeza zaidi naye awe maeneo ya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
Vijana milioni 2.6 wenye umri wa miaka kati 15 na 24 nchini, wanaishi na virusi vya Ukimwi. Takwimu hizo zilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu...
6 Reactions
106 Replies
13K Views
Awe social mwenye uchangamfu wa kuburudisha roho yangu,elimu,kabila,utaifa na dini yoyote ile,umri kuanzia 18,kama anakunywa pombe asiwe mlevi wa kukesha bar,na awe na kipato cha pesa kidogo.Mimi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako...
3 Reactions
106 Replies
9K Views
Nilikuwa na rafiki yangu mtaani ambaye tulikwenda shule ya msingi pamoja, japokuwa baada ya kumaliza elimu ya msingi hakuweza kuendelea na masomo zaidi lakini tuliendelea kuwa washikaji,ikatokea...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mrembo huyo dah wachina wametuletea hii dawa sasa wengine ndo inakuwa too much wengine inawapenda na kuwavutia wengine ndo hivyo anajaa kalio moja na jingine linakuwa la kawaida. Yote hii...
0 Reactions
54 Replies
30K Views
Habari za weekend wana mmu.poleni na majukumu mazito ya kifamilia na taifa.leo ningependa tuelemishane na ku share experience hususani ya maisha ya familia za ki afrika na ki magharibi.sio...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa...
10 Reactions
205 Replies
21K Views
Habari wadau! naitaji binti yeyote anayejisikia kutoka siku ya leo na hana kampani anipe kampani,naitaji kampani ya kike..if u feel like join me this satoo kufurahi sehemu yoyote nzuri basi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwenzangu yale mambo ya kujazana upepo kichawani kwa wale wana pure mathematics wanaita EMPTY SET ama NULL SET kwa mwanamke...
11 Reactions
79 Replies
7K Views
Imekuwa kitu cha kawaida kwa wanaume wenye 'mambo mengi'kuonekana wa kawaida pale wanapobadilisha wanawake kana kwamba ni fahari kuwa na mabibi wengi. Kwa utafiti wangu wa ki-OBSERVATION kutoka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
**Are u among these girls who want to be married by rich people? **How often do u expose ur daughter to rich people who are lostful of women **You rich people how often Do you go for young...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
In the Definition of Most Women, LOVE = CASH or SEX = CASH?. Is it the same thing to Men?
1 Reactions
115 Replies
16K Views
Kila nnapojaribu kutafakari juu ya suala hili nashindwa kujiridhisha kwa nikiwazacho.mwanaume huyu anatakiwa kuitwa jina gani!kwani haya majina naona yapo kwa kina dada tu,au nae ni kahaba pia!
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…