Je hii ni sawa? wanandoa na mnaotaka kuingia toeni maoni.

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,837
1,195
Huko Kenya wamepitisha mswada unaozuia mgawanyo sawa wa mali kati ya mwanaume na mwanamke inapotokea wameachana na kupeana talaka..je hii ni sawa wadau? Vipi kuhusu haki za mwanamke ambazo ni passive..yani hazionekani maana kama ni nyumba kajenga mwanaume mara nyingi wanawake tunaishia kupendezesha in terms of furniture na mazingira..au kuna msemo mimi najenga we chukua jukumu la kulea familia, misosi, ada, mavazi etc..sasa hapa inakuwaje? hebu tusaidiane..au ifikie wakati tuwapigie wanawake wengi kura waingie bungeni maana huko kenya ni wanaume ndio walioweza kubadlidi huo muswada..kazi kwetu.

"Parliament Tuesday evening passed a lop-sided law which strips women of the right to an equal share of family property in case of divorce.

Male MPs changed the Matrimonial Property Bill to say that a man and his wife will share matrimonial property according to each person’s contribution.


Bill strips women of family wealth rights
mobile.nation.co.ke 

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,261
2,000
Hiyo sheria inasema hawatagawana kwenye mazingira gani?

Kwasababu kama walioana na wakajenga pamoja halafu useme hawatagawana sawa ni kama wehu hivi!
 

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,837
1,195
Eiyer, hawatagawana pale ndoa itakapokuwa inaendelea...lakini ikifikia mahali wanadivorce suala la mali ni ni kila mtu na alichonunua isipokua kile tu walichochangia kukinunua kila mtu atapewa according to percentage aliyoitoa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom