Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari wakuu...nimekuja jukwaani na munkari kwa sababu nafsi yangu ina hatia..najihisi mkosaji..lakini poa ngoja niwadokezee...nina swahiba wangu ambaye miaka miaka mitano iliyopita alifunga...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Cha muhm asiwe wa kisasa pia asiwe ambaye amewah kuwa na hstoria ya kunywa mayai!
7 Reactions
84 Replies
11K Views
Naanza hivi; Baada ya kuishi pekeyangu kwa muda sasa, nimeamua kujitokeza kwa mara ya kwanza kwenye jukwaa hili kutafuta mke ambaye yuko tayari kuolewa awe na elimu yoyote isipokuwa darasa la...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf natafuta marafik wa kuchat nao jinsia yoyote sibagui Ukiwa tayari Email yangu hii www.yasinimhindi@gmail.com Facbook www.facebook.com/yasini.mhindi Twitter...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini Kenya inayojihusisha na maswala ya kijamii nchini humo imebaini kuwa wawanawake wanafonya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama (wadada poa) hutumia...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
mimi ni mdada natafuta rafiki aliyetayari tafadhali tuwasiliane,dini yoyote,umri kuanzia 35-40.mengineyo tuingie chemba:)
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wadada wenye age below 35,nahitaji mke hata km ana mtt 1,elimu atleast f4.mi ni bizs man elim chuo kikuu.miaka 33.awe na kazi hata km la.ila awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa.cna...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau, Nimekua nikona wanaume wenzangu wakiwa wanachagua sana mwanamke wa kua nae. Unakuta mtu anachagua sana mwanamke mpaka umri unasogea na hana permanent mwenza. Sasa katika kulitazama hili...
2 Reactions
58 Replies
32K Views
Tangu niingie huu ulimwengu,sijawahi kuumia na kukosa raha na amani tangu mpenzi wangu aniambie neno hili"HUNA JIPYA".For sure nimejiona mdogo kama piriton na nahc kama nimeshachuja.SITAKAA...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Mwanzoni mwa mwaka huu niliomba ushauri kuhusu mchumba wangu kukataliwa kupewa huduma alipoenda klinik nilipata majibu mazuri sana kutoka kwa watu mbali mbali waliopata nafasi...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Kama huna jambo/neno zuri la kuzungumza kuhusu mtu mwingine, nyamaza. Kama kuna ulazima wa kuzungumza hilo ulilonalo moyoni, basi mueleze mwenyewe. Jumapili njema wapendwa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau habari za siku!! Nimeona nitoe kisa hiki nilichopata kusimuliwa na kukishuhudia miaka ya 2000's UDSM. Kulikuwa na bi mdada kutokea maeneo ya kanda ya ziwa alikuwa ameolewa na kipindi...
3 Reactions
65 Replies
14K Views
Habari zenyu wana jamvi,natumain weekend mnaifaidi kisawasawa, Nna mchumba wangu tunapendana sana, tuna miezi mitatu ya uchumba,tunaishi karibu. Nilimwambia tuoane mwezi wa 4 mwakani kakataa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
1 Unapojisikia kulia,unapenda mume wako ............. 2 Unajisikia kuheshimiwa na mume/mpenzi wako ikiwa ata ........... 3 Mume/mke anagusa mahitaji yako ya kujisikia mwanamke kamili aki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikiona wanawake wakiwa na hii hali huwa nawahurumia sana sijui huwa wanapata shida lakini utashangaaa wanazurula kama nini wakati ukimwangalia anapata shida kweli ni zaidi ya kitambi kwa wanaume
2 Reactions
32 Replies
4K Views
natafuta rafiki yeyote, mwanamke au mwanaume
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi baadhi ya wanawake huwa wana matatizo gani? Unakuta mwanamke ni mjamzito... Ikitokea amekorofishwa na bwana ake anakimbilia kutoa hiyo mimba... Kwani aliyekosa ni mtoto au baba yake...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jaman nahitaji kampani ya mdada anayeishi moro..am very bored...karibuni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom