Habari zenyu wana jamvi,natumain weekend mnaifaidi kisawasawa,
Nna mchumba wangu tunapendana sana, tuna miezi mitatu ya uchumba,tunaishi karibu. Nilimwambia tuoane mwezi wa 4 mwakani kakataa katakata mpaka eti mwezi wa 10 bila sababu za msingi na mim nimechoka sana na upweke.
Najiuliza kwanini akatae,alafu ana misimamo sana na ujasiri,nahisi hata tukiwa kwenye ndoa akiamua kuwa hanipi,najua sitapata kweli tendo.
Nisaidien wanajamvi.
Nawasilisha.