Natafuta mwanaume awe rafiki yangu age 45 and above

Natafuta rafiki mwanaume wa kubadilishana nae mawazo tu, awe ameoa au hajaoa haijalishi, awe anajiheshimu na kujitambua.Awe nauwezo mkubwa wa kutoa ushauri unaojenga na ajue kutoa faraja inapo hitajika.
Tuambie basi mkuu wewe uko wapi...
 
Dah hakuna masharti lakini km ni kubadilishana mawazo tu karibu bibie maana maisha ya ss lazima watu wachangie mawazo
 
Natafuta rafiki mwanaume wa
kubadilishana nae mawazo tu, awe ameoa au hajaoa haijalishi, awe
anajiheshimu na kujitambua.Awe nauwezo mkubwa wa kutoa ushauri unaojenga
na ajue kutoa faraja inapo hitajika.
ya niko tayari ni pm wewe jibu la tatizo langu hata mimi nihitaji mtu tofauti wa kubadilisha mawazo
 
tatizo lako wewe ni kwamba unaamini katika wanaume usiowaona, kama hukuwaamini wote unokutana nao kila siku si hata huyu mpya ukimuona imani itakuisha. Nakushauri Pofua macho kwanza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom