Neno la Leo.

Neno la Leo.

Mashimba1

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
814
Reaction score
303
Kama huna jambo/neno zuri la kuzungumza kuhusu mtu mwingine, nyamaza. Kama kuna ulazima wa kuzungumza hilo ulilonalo moyoni, basi mueleze mwenyewe. Jumapili njema wapendwa.
 
asante kwa neno. nitakupataje? nina jambo kuhusu wewe na kunyamaza siwezi.
 
Back
Top Bottom