Amefanya na babu yake

Amefanya na babu yake

mandingo6262

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
424
Reaction score
82
Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja mkoani nikaamua kutoka nipate breakfast restaurant. Kwa bahati nzuri wageni tuliolala kwenye lodge hiyo tulikuwa wachache, hivyo nilijikuta mwenyewe restaurant. Ghafla iliingia tax ambayo vioo vyake vya nyuma ni tinted. Mara kashuka bint m1 akiwa na uniform za chuo cha ualim na kupewa rum. Nilimsalimia akaitikia na akamwambia muhudum kuwa mwenzake atakuja kulipia. My God baada ya muda katokea mzee Kama wa miaka 68 kumbe ndo muhusika.

Nimeamin ng`ombe hazeeki......
 
Huyo Babu sio huyu tunaeangaika naye KAPUU YA?
 
^^
Wanawake wanapenda pesa lakini zinadhalilisha utu wao!
^^
 
Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja mkoani nikaamua kutoka nipate breakfast restaurant. Kwa bahati nzuri wageni tuliolala kwenye lodge hiyo tulikuwa wachache, hivyo nilijikuta mwenyewe restaurant. Ghafla iliingia tax ambayo vioo vyake vya nyuma ni tinted. Mara kashuka bint m1 akiwa na uniform za chuo cha ualim na kupewa rum. Nilimsalimia akaitikia na akamwambia muhudum kuwa mwenzake atakuja kulipia. My God baada ya muda katokea mzee Kama wa miaka 68 kumbe ndo muhusika.

Nimeamin ng`ombe hazeeki......

Ndio babu yake huyo?
 
Ukimshangaa babu mshangae hata huyo binti...
 
Mhhhh! Cha ajabu ndo wachumba zetu hao mtu upo mbali unajihesabu una mchumba wako chuo kumbee!
Yupo na kina Kapuya.
 
Sema tu mzee kakufyeka miguu akakutafunia mawindo yako ukiona kwa macho yako. Ulimsalimia....ukataraji kakuletea kumbe kamletea mzee. Soma nawe uwe profesa utaletewa.
 
Mtoto wa chuo ni mtu mzima ameamua ile akili yake inavyomtuma.
 
halafu wakitoka hapo wanadai wazee wamewaKaPuYa wakati wanatangulia wenyewe
 
Msemo mwingne unanukia. Ha ha ha comments zenu zmenichekesha sana. Nakumbuka msemo wa ma-------unafikiri kwa kutumia ma------. Sasa ya kapuya itakaaje?
 
we umejuaje miaka yake..mara inasemekana hivi,,,,,,

Fanya yako waache na wenyewe wafanye yao
 
Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja mkoani nikaamua kutoka nipate breakfast restaurant. Kwa bahati nzuri wageni tuliolala kwenye lodge hiyo tulikuwa wachache, hivyo nilijikuta mwenyewe restaurant. Ghafla iliingia tax ambayo vioo vyake vya nyuma ni tinted. Mara kashuka bint m1 akiwa na uniform za chuo cha ualim na kupewa rum. Nilimsalimia akaitikia na akamwambia muhudum kuwa mwenzake atakuja kulipia. My God baada ya muda katokea mzee Kama wa miaka 68 kumbe ndo muhusika.

Nimeamin ng`ombe hazeeki......


ndiyo babu yake huyo?

halafu nani kakuambia wazee hawastahili kupata utamu???????
 
Back
Top Bottom