wako kua unampenda? Je ni kitu gani watu kama hawa hupoteza au hupata faida wanapolificha penzi kwa mweza wake? Maana nimejaribu kulichambua hili swala sipati jibu...nasikia tuu kwa watu na...
Naikumbuka siku ile nilipoitwa nyuma ya nyumba kule kijijini kwetu. nikaambiwa nitanue miguu then wabibi flan wakanitazama kwa makini sana, ckujua kitu kilikua kinaendelea....
Baada ya cku...
Rafiki yangu amekuja na kuanza kunambia:
"aise kuna mtu ananililia hadi nashangaa!..... nikamuuliza kwanini? akasema, mnamo mwaka 2005 nilifahamiana na binti mmoja jirani yetu na tukajikuta...
Habari wana Jamvi!, ni jambo lisilofichika kwamba suala la kumpata mwenza mwenye mahitaji yanayo fanana au yanayokaribiana kuwa sawa ni jambo gumu..... Hivyo kwa kuzingatia hilo najitokeza kwenu...
Pole na kazi dadaangu
Mie ni mama wa watoto wawili wakike mmoja yuko 6 yrs na mmoja 1 yrs nimefunga ndoa na mme wangi miaka saba iliyopita,ninafanya kazi ,najipenda naipenda family yangu pia...
Unapo amka asubuhi unakuwa na mawazo ya kimajukumu na kabla hujaondoka kwenda kazini unatakiwa kumwambia mkeo maneno mazuri sana ambayo yatamfanya afurahi.
Wadau,hivi kale kawimbo aliimbaga nani?Kanasema hv"mkunwa na mkunaji muona raha ni nani?Nimekasikiliza lakn sijapata jibu hivi ni nani hupata Monde(Utamu)?...
Salaam wakuu,
Kwema? Ishu yenyewe ni hivi, imagine wewe ni mwanaume ambaye una bestfriend wa kike ambaye mmekua marafiki (close friends) kwa kipindi cha muda mrefu mpaka imefikia hatua kwamba she...
Mimi ni mwanamke nina miaka 37 sasa hivi,nimeolewa na nina watoto watatu miaka 17,13 & 6yrs.Nimeishi na mume wangu kwa miaka 18 sasa hivi,mume wangu ni maasai wa mjini sio wale wavaa lubega...
Katika vitu naona kuna makosa makubwa yanafanyika ni hili kawaida naona Baadhi ya wanaume hupata shida sana ya kuishi na wapenzi wao kwa mda mrefu na pengine kuona anamchoka mpenzi wake mapema...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ujue mtu unaweza kuwa na stress ukaona mambo yako hayanedi kichizi! Mchumba hupati, kazi hupati,mambo hayaendii kabisaaaa...
Kuna watu wamezaliwa na tabia ambazo kwa ulimwengu wa leo watapata shida sana.
Hapa nawazungumzia wale ambao wamezaliwa huku wakiwa hawawezi kabisa ku-cheat lakini wakati huohuo hawawezi kuhimili...
Najua hii kitu sio sahihi kabisa lakini haimaanishi kuwa huwezi kupata zuri kwenye hiyo kitu
Ni muda mrefu sana jambo hili limeshajadiliwa sana kama linawezekana kuzuilika
Wapo waliosema...
Una mchumba ambaye mmeshatambulishana pande zote kwamba mtaoana. Mko pamoja kwa miaka miwili na kipindi chote mmekuwa mkifanya mapenzi kwa condom na kipindi chote mmekuwa waaminifu kwa kila mmoja...
Jamani msaada, mimi uwaninaota mara kwa mara nafanya mapenzi na mwanamke mwenzangu na ninapata utamu kuliko nikidoo na my husband, nifanyeje jamani as I love my hubby na nina 2 kids, help
Kila mtu anatamani kitu fulani anachokipenda hata kama wakati mwingine inaonekana haiwezekani au ni vigumu kukipata kitu hicho, hapa hoja ya msingi ni kwamba ktk fikra zako huwa unaona/unawaza ni...
kwanza ningependa kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku wana jamii wenzangu,,,
pili ningependa kuwapongeza wale wote wanaochangia kwa moyo mmoja na wa upendo pale
mmoja wetu anapoleta tatizo...
Ebana eeeh!
Hospitali ya Mkoa Moro, ka jioni hivi, nimekutana na msala na nikakumbuka umuhimu wa suruali yangu ya jinzi. Kuna vinesi vitatu vimepita mbele yangu vimevaa hizo mini-gown, na...