Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini za hasubuhi wanajamvi, katika harakati zangu za kutafuta mke wa kuoa, nimekumbana na dada huyu, ni mzuri wa sura kitabia ndo namchunguza! Cha ajabu yupo tayari kwa yote I.e kumshika...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Jana kama ilivyo ada mimi na mwanangu (pamoja na mke wake) tumeenda sehem inaitwa kibo biznenga (maarufu sana kwa nyama nyuma ya best bite) Ile kuingia tu pemben walikaa watu watatu! Jamaa mmoja...
1 Reactions
86 Replies
11K Views
Katika mambo ninayopinga ni mahari ata nilipiga marufuku kutoza mahari kwa dada zangu, mama pia hapendi mahari. Sasa leo nimepigiwa simu kuelezwa mahari baada ya wazazi kuzungumza na wazee...
0 Reactions
129 Replies
10K Views
Habari wana jamvini,mimi ni kijana mwenye umri 27,mrefu 5.9feet,umbo la wastani,natafuta msichana alie searious kuanza maisha na kujuana zaidi,awe anaishi england,wales au scotland,mtanzania...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimetuma kwa Tigo pesa kwa hasira kabisa laki moja za kitanzania (100,000/=) kujilipia mimi tu na pesa itakayo baki nawalipia wadau walio tuma 30,000/= bila pesa ya kutolea. Mwendo mdundo...
0 Reactions
93 Replies
6K Views
Ndg watanzania wenzangu/jamii kiujumla,nakuja mbele yenu ili kuwaomb ushaur kwa jambo ambalo lminichanganya akil yng na kunifany hata kukata tamaa kabsa"NINAMPENZ WNG AMBAYE NAMPENDA SANA NA...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamaa yangu jana ameingia na mdada gest alipoamka asubuhi akamkuta hayupo na simu na fesha hakuna. Hii ni baada ya kutokumwona kwenye mkutano na ikawa simu yake haipatikani na tulipomtuma dereva...
3 Reactions
65 Replies
21K Views
Ndugu wanajukwaa la MMU neno samahani ni moja kati ya maneno ambayo yakitumika vema na kwa kumaanisha huweza kua chachu ya kuurudisha moyo wa mpenzi wako uliemkosea na kuwaweka huru hasa baada ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Kisa cha Asali kufanyiwa tathtmini utamu wake ni hiki. Nina kaka yangu wa mtaa wa miaka hiyo ya 90's aliwahi kufanya utafiti wake wa kiutundu kati ya asali na mambo yetu ya kikubwa...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Sijui ni mkosi, nuks ama balaa gani me mwenzenu. Nilipo mtongoza hakuniambia kua yeye ni mke wa mtu, badala yake aliniambia yeye ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho pele Mlimani na hapo anapoishi ni...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
wasalam wana mmu wikiend iliyopita j,mos niliona nkajiliwaze club baada ya msongo wa mawazo ya kuhis naibiwa,,,nikakutana na washkaj zangu tuliomaliza nao chuo kwel nikapata god tym ingawa kwa...
1 Reactions
139 Replies
12K Views
Jamani wana jf, Mimi ni msichana nipo single sasa takribani 4 months,nakwazika sana nikiulizwa mimi naolewa lini?ukiangalia hata mchumba sina halafu mtu anakuuliza hivi we unaolewa lini mbona...
15 Reactions
101 Replies
10K Views
habari mkuu nina mpenzi wangu wa mda kidogo almost just like 2monthly ago sasa hivi karibuni kaanza katabia cha kuniomba pesa kiajabu ajabu tofauti na mwanzo mpaka akwame ndio aombe sababu yeye ni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
natafuta mchumba wakike aliye serious nitext 0683312824
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Amani iwe nanyi enyi nyote wana JF, Ukiwa na Kitu cha thamani husababisha mambo kadhaa mfano: · Gharama kubwa na Umakini sana wa kukitunza(Mfano Ikulu, Nyumba kubwa za Dar zina geti...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Mfano ndo umerud hom toka safar ile unafika mlango mkuu unaukuta uko wazi,unazama had sebulen wakat unakaribia mlango wa chumban unasikia kitanda kikilalamika,hofu inaingia na kujikuta...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Wadau naomba mnijuze, Ni baada ya siku ngapi tangu kutungwa mimba inaweza kuwa detected kwa vipimo? na kipimo gani kiko accurate kujua umri wa mimba?
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Wengi wetu tumewahi kusikia mahanithi wa kiume yani wanaume ambao hawasimamishi ni aina ya wanaume ambao kamwe hawawezi chochote kitandani na ni tatizo ni ugonjwa ambao kwa baadhi unatibika lakini...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mimi na mpenzi wangu tupo pamoja almost 3 years. Tumekuwa tukifanya mapenzi kati ya mara 3,4,5 au 6 kwa wiki. Kwa sasa nimeamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine. Wiki moja tu umepita amenipigia simu...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Habari wana jamvini,mimi ni kijana mwenye umri 27,mrefu 5.9feet umbo la wastani,natafuta msichana alie searious na ambaye yukp tayari kuanza maisha,awe anaishi hapa england,scotland au wales na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom