nilipomueleza mimi staff wa mapenzi.akanuna .....

nilipomueleza mimi staff wa mapenzi.akanuna .....

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,909
Reaction score
3,221
habari mkuu nina mpenzi wangu wa mda kidogo almost just like 2monthly ago sasa hivi karibuni kaanza katabia cha kuniomba pesa kiajabu ajabu tofauti na mwanzo mpaka akwame ndio aombe sababu yeye ni mwajiriwa .
Siku nne zilizopita amekua ananiomba pesa mfulilizo za matumizi ikabidi nimueleze kua mimi ni staff wa mapenzi hua sihongi kihivyo basi kanunanaje wiki sasa apokei simu hv kuna mapenzi hapa kweli au ndio akufukuzaeee........
 
Hata staff siku nyingine huwa wanachangia hela ya mafuta.Acha kuhonga wanaojua walisukune goma hilo ndio utajua ni nini maana ya kuhonga.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Ndio kakuachia nyoya hvyo........ Unaleta lugha za ajabu kwampenz wako tayar kakuona mhun
 
sasa we unataka umuonge nani sasa kama siyo yeye? kama unamajukumu mengine yanayohitaji hela kama ujenz mweleze nadhani ataelewa tu
 
yn ndo sijaelewa kabisa,kadi za mchango tena

anamaanisha kuwa yeyye ni mzinzi aliyekubuhu... ameshahonga akapiga mzigo.... ameshakula vya bure...ameshalazimisha game ... yani huyu ni nouma
 
anamaanisha kuwa yeyye ni mzinzi aliyekubuhu... ameshahonga akapiga mzigo.... ameshakula vya bure...ameshalazimisha game ... yani huyu ni nouma
bado hujatoa maana,kawaulizeni makonda wa daladala huu msemo ndo wanautumia sana.
 
nilikuwa najaribu kumbe nimekosa basi tena
ni kua makonda wa daladala wanaitana stuff,so mfano ikitokea konda wa daladala nyingine hayuko kazini au gari mbovu ,etc na anataka kwenda sehemu ,atapanda daladala yeyote na konda wa hiyo daladala akimfikia wakati anakusanya nauli kwa abiria,atamwambia yule konda,''mi ni staff''. Akisema hivyo yule konda atajua kuwa yule ni staff mwenzake so hawezi kumdai nauli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom