habarini wakuu, hasa wanawake hii inawahusu.Natafuta serious mchumba.kigezo cha kwanza awe mcha God (mtu wa maombi na sala asubuhi mchana na jioni, kufunga na awe mtu wa ibada), age kuanzia 25...
nimefanikiwa kuwa na wanawake wa aina hizi mbili yaani wenye kazi na wasio na kazi yaan za kuwaingizia kipata.
Mi nlichogundua mwanamke asiye na kazi anathamin sana pesa uumpayo hata kama ni...
Nyingine si ndoa, ni ndoano
Mengine si mapenzi, ni ushenzi
Pengine, ni wizi, ubezi, ubazazi
Yakache, ya siku chache yasikuchache
Mwingine si upendo, ni utando
Mengine si asali, ni ajali
Ni...
Ndugu zanguni mimi huwa napatwa na hasira kupita kiasi,Nikiudhiwa kidogo najikuta roho ishachafuka,nifanyeje ili niweze kuziepuka hizi hasira zilizopitiliza??
Mwanasaikologia ambaye yuko humu...
Napenda wenye ufahamu wanisaidie kuhusu hili.
Nina mke wangu wa ndoa ambaye kabla sijamuoa nilimkuta na mtoto wa kiume wa miaka mitatu, mtoto huyo sasa hivi mkubwa na ameingia form one sekondari...
KHABARI GANI WANA MMU
Mimi ni mfanyabiashara wa ndizi kutoka Mbeya (tukuyu) na kupeleka Dar na nina zaidi ya miaka mitatu sasa toka nianze hii biashara, mwishoni mwa mwaka jana 2013 biashara...
Wakuu habarin za jion! ningependa kujua kama kuna mathara yeyote ambayo yanaweza kumpata mwanaume endapo hatofanya mapenzi (tendo) kwa mda mrefu. ningependa nielezewe kwa pande mbili. kiafya na...
Jamani dunia hii mbaya. Kuna rafiki yangu kanieomba ushauri kuwa sasa ni miezi nane yeye na mumewe wanalala kitanda kimoja hamna kitu. Wanasalimiana tu asubuhi halafu kila mmoja anaanza. Jamaa...
Karne hii 21 wanawake wamekuwa wavivu sana katika kila vitu wafanyavyo. Wanashidwa kupika mpaka vyakula vya kitamaduni, ukiwaambia watwange maindi kwa ajili ya makande utawasikia wanasema kuhusu...
WANAUME WENGI MPO HIVI
Hebu fikiria:
1.Uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki...
Nimegundua mke wangu anatoka nje miez sita sasa kwa ushahidi wa kuwarecord kwa kutegesha recording kwenye simu yake baada ya kuchoka vitimbwi na kutopewa haki ya ndoa mara kwa mara na kuchelewa...
1. Ana chat na watu kibao ila simu yake haina msg hata moja kila siku
2. Rafiki zake wengi ni wanaume tena waliomzidi umri
3. Huwezi kusikia anazungumzia mapishi
4. Anapenda kula mitaani
5. Hana...
Natafuta girlfriend umri 18-25. Awe Mwanza,ila asiwe mpenda starehe wala maisha ya anasa. Awe mcha Mungu wa dini yoyote na kabila lolote. Aliye tayari no zng ni 0788 05 11 12
Duh hii kali ya mwaka, jamaa amemsomesha dada yake kutoka o-level hadi chuo kikuu hatimaye kapata kazi.
Sasa brother wake kambadilika dada yake anataka alipwe pesa zake zote.
Yeye kielimu...
wasalaaam wana mmu,,
kama kawaida kijana wenu nakuja nakamkasa kangu kwenu kwan naamin kuna watu wa aina tofaut na hivyo kutoa michango ambayo kias kikubwa inasaidia,,
my gf ndo ivyo anamalizia...
Sidhani kama kuna sehemu wamesema
ukipost picha za maisha yako kwenye mitandao ya
kijamii basi we ni shoga cjui nini,as baadhi ya watu
wanavyofanya juu yangu..hii ni acount yangu,haya ni maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.